Mbowe alichofanya ni kuziba shimo la panya kwa mkate.
Ipo kazi!!!!
Wewe mtoto wa dhaifu mwenye akili dhaifu, kamanda kaingiaje kwenye uzi huu? Siku moja tuta ku-Al Islam Gaddafi!
katika taarifa ya habari ya leo nimeshuhudia mawaziri wawili(yule wa mambo ya ndani na yule wa maliasili na utalii) wa JMT wakifika katika eneo la tukio.
sio muda mrefu tuliwahi kusikia mauaji ya kutisha mfano kiongozi wa chadema kuchinjwa na chainsaw,vijana wanne kunyongwa,zeru zeru kuuliwa kikatili na viungo vyake kunyofolewa.
swali;je mawaziri wanathamini wazungu kuliko watanzania?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mi nadhani kuna njama ili watalii wasije Tanzania.Hizi ni njama za makusudi kabisa ili Tanzania ionekane si salama kwa watalii,tumeshuhudia hivi karibuni jirani yetu akisema Tanzania sio salama kwani Zanzibar kuna vurugu na wakati huohuo ikumbukwe kwa muda mrefu waliwahadaa walimwengu kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Serikali ifanye uchunguzi wa kina juu ya suala hili.
Hapa umenena....uchunguzi ufanywe vizuri.
Hivi hakuna harufu ya wafuasi wa aliyemwagiwa ugali wameamua kumwaga mboga kweli? Na wasiwasi na hasira za uchungu wa kutimuliwa kwenye ulaji wakati anajua njama zote za wizi wa wanyama wetu! Tuone mwisho wa sinema!
katika taarifa ya habari ya leo nimeshuhudia mawaziri wawili(yule wa mambo ya ndani na yule wa maliasili na utalii) wa JMT wakifika katika eneo la tukio.
sio muda mrefu tuliwahi kusikia mauaji ya kutisha mfano kiongozi wa chadema kuchinjwa na chainsaw,vijana wanne kunyongwa,zeru zeru kuuliwa kikatili na viungo vyake kunyofolewa.
swali;je mawaziri wanathamini wazungu kuliko watanzania?
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
[/COLOR]Are you serious braza, hayo maneno kwenye rangi nyekundu unajua madhara yake lakini
Hakuna kingine zaidi ya kulinda heshima ya nchi mbele ya wageni mbalibali wanaotembelea ili kuonyesha mnawajali ili pamoja na kutokea tukio hilo wazidi kuwaruhusu wananchi wao waje kutembelea Tanzania.
LIKE. Hii ni aibu ya taifa letu. Huyu ni mgeni wetu ambaye amekuja kutumia pesa zake ambazo tunazitafuta na kuzihitaji sana. Ni lazima tuhakikishe ulinzi na usalama wa wageni wetu.
ulinzi na usalama kwa wageni!
Hivi ukienda uholanzi ukafia huko mambo yatakuwa hivi hivi au?
Mi nadhani kuna njama ili watalii wasije Tanzania.Hizi ni njama za makusudi kabisa ili Tanzania ionekane si salama kwa watalii,tumeshuhudia hivi karibuni jirani yetu akisema Tanzania sio salama kwani Zanzibar kuna vurugu na wakati huohuo ikumbukwe kwa muda mrefu waliwahadaa walimwengu kuwa Kilimanjaro iko Kenya. Serikali ifanye uchunguzi wa kina juu ya suala hili.
ni kazi ya intelgency wa nchi na nahisi we ni mmoja wao ila vita ni vita na wameanza na kuua vifaru ambao ni wanyama adimu kwetu kweli zaweza kuwa mkakati wa watu wanje au ndani