Kifo cha Mh Regia, Kilombero walia na Mteketa!

Inaniuma sana kuona vijana wapambanaji wanapotea,namkumbuka wenje, hata amina nae
 
kama unaamini mungu ananguvu kuliko kila kitu na wewe ni muumini mzuri, basi sioni kwa vipi utaamini kuwa urogi ushinde nguvu za huyo mungu unaemuamini

logically mchawi atakuwa kamzidi nguvu mungu ndo maana urogi unakupata

hitimisho ni kuwa, umeleta dharau kwa mungu wako kuwa anaweza kuzidiwa nguvu na mchawi mmoja tu

*idea tu ya kuamini kuwa kuna wachawi inanshangaza sana

ewe gaijin mkumbuke ayubu aliteswa sana na huyo shetani muovu.ila alisimama katika imani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom