Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

Hata mimi nadhani waandishi wa gazeti hilo wabadilike; nilipenda sana kulisoma ila siku hizi ni mara chache sana kulinunua. Tofauti na lilivyokuwa mwanzo siku hizi linaigiza mbinu za magazeti ya Shigongo, linaongelea zaidi habari binafsi za watu na si uchambuzi.
 
Back
Top Bottom