mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Magazeti ya TZ ni kama Taifa Star, leo ikifanya vizuri tunashangilia ikikosa lawama, mleta hoja bado gazeti linadumu kama kawa na tunakamua nalo kilo mbaya.
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.
Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata
Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua
Nawasilisha
kwanza gazeti lenyewe limekosa mvuto na habari zake nyingi ni za majungu na kuchafua watu tu.mwache atanue india,kazi kwao waliokuwa wanasoma gazeti lisilo makini.mtu makini husoma habari za waandishi makini.
Ndio gazeti ninalipenda.jamaa ingawa hawana matangazo ila wanadunda
Pamoja na utetezi wa wadau wake(na mimi nilikuwa msomaji sana wa gazeti hili), sasa hive sio siriWatu wengine sijui hamjui cha kusema au mnasema msichokijua.
Umekuja na mada ya kifo cha gazeti la Mwanahalisi, eti halionekani mtaani!! Unaletewa vichwa vya nakala ya juzi, unauliza kama linapata wasomaji. Wewe ndio unapaswa kutupa hizo data za kushuka kwa wasomaji au la.
This is too low, when you make a case or an argument, come with something concrete to support it. Sio unatoa theory halafu unataka watu wakupe data za kuibeba mada yako. Watu wakicheka, mnaanza kujificha kwenye kichaka cha "JIBUNI HOJA MSITUKANE", hoja isiyo na ushahidi watu watajibu vipi?.
Kitu kingine cha kujua ni kwamba gazeti la Mwanahalisi sio gazeti la habari za kila siku. It is an investigative newspaper, usitegemee kila wiki liwe na habari zenye uzito ule ule. Kuna wakati watapata mambo makubwa, wakati mwingine ya wastani, yote kwa yote, kamwe tusidharau mchango wa mwanahalisi kwenye kufichua maovu na kutoa elimu ya uraia.
Peter hoja ya mleta mada ni kuwa Mwanahalisi ya sasa siyo Mwanahalisi ile tuliyo izoea na kutoa angalizo la kuelekea kaburini.
Kama hoja hiyo ni kweli, then hata kama circulation yao ni kubwa kiasi gani, down the drain it will go!.
Kwa Rai ilikuwaje?.
Ukiwa mnafki ukiwa kijana ukiwa mzee utakuwa mchawi 2. Huna haya, mnafki mkubwa we! Hata mimi ninalipata kila jumatano.
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.
Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata
Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua
Nawasilisha
Hili ni tatizo la wanajf wenye upande, kwao ukweli ni ule tuu wanaoutaka wao kinyeme cha hapo utaambulia matusi!.
Nimewahi kufanya ukosoaji wa CCM kuwa imechokwa wana CCM humu wakavumilia na kujibu kistaarabu!.
Nimewahi kufanya ukosoaji wa CUF kuwa SUK inatekeleza ilani ya CCM hiyo ni safari ya kuzimu, japo walibisha ila ni kistaarabu!.
Nilipofanya ukosoaji wa CDM humu kuwa "hawajajipanga" chamoto nilikipata!, Niliambulia sio matusi tuu bali mitusi, lakini ujumbe ulifika na sasa ndio hao wanajipanga na njia ya Feri ni nyeupe kwao.
Vivyo hivyo ujumbe huu kuhusu Mwanahalisi umefika, wenye macho wameona, wenye masikio wamesikia!, only time will tell kwa wanashabikia kwa mapenzi upofu!.
Ni miezi na Miezi sasa tokea nisikie na kuona gazeti hili la mwanahalisi
Hili gazeti lilileta changamoto kwa jamii na kwa wanaJF kwa ujumla katika
habari zake.
Siku hizi hili gazeti limekuwa jalala sijui ni nini kimelipata
Je Mkurugezi Mkuu Kubenea ndo kalitupilia mbali ? maana nasikia bado yuko india anatanua
Nawasilisha
Mama kuwa mvumilivu sana.
Mwanahalisi ni gazeti la makala la kila wiki. Nafikiri usikate tamaa kama kuna makala zimekuudhi basi wewe endelea tu ipo siku itaandikwa ile ambayo na wewe utaipenda.
Subra na kuvumiliana ni kitu bora sana hususan katika suala zima la uandishi wa makala.

Unafikiri usipo nunua wewe kwa ajili ya kununua magazeti ya udaku unadhani na wengine hawanunui?au mwanahalisi wamekuomba msaada uwasaidie kwa sababu ya kufilisika, tuweke wazi.Au kwa sababu hawajaandika habari za kanumba?ukitaka kitu ni lazima ujue sehemu kinapopatikana,sio wewe unataka bangi unaenda kuuliza polisi.Na ukitaka kujua uozo wa selikari za Kikwete na Mkapa soma Mwanahalisi.Je linapata wasomaji?
Unafikiri usipo nunua wewe kwa ajili ya kununua magazeti ya udaku unadhani na wengine hawanunui?au mwanahalisi wamekuomba msaada uwasaidie kwa sababu ya kufilisika, tuweke wazi.Au kwa sababu hawajaandika habari za kanumba?ukitaka kitu ni lazima ujue sehemu kinapopatikana,sio wewe unataka bangi unaenda kuuliza polisi.Na ukitaka kujua uozo wa selikari za Kikwete na Mkapa soma Mwanahalisi.