Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
na kwa wasioamini Mungu je?
Tukiangalia historia, sidhani hiki kifo kimetokana na "kazi ya Mungu". Mungu huwapenda watu wenye mapenzi mema, sisi waTZ tukiwemo. Hivyobasi, kwa upendo wake Mungu nafikiri angependa zaidi Balali atueleze mtazamo wake kuhusiana na suala la EPA. Serikali yetu ilikuwa na nafasi ya kutekeleza hilo, ila kwa kutotujali sisi raia wake haikufanya hivyo.
Hivyobasi, mimi sikubaliani na usemi kwamba kifo hiki kimetokana na mapenzi ya Mungu. Kwa upendo wake mwenyezi Mungu, angefurahi zaidi kama sisi wapendwa wake tunapata majibu ya maswali yote ambayo ndugu Balali katutoka kabla hatujayapata.
Asante Baba JK..
Afadhali useme leo ili watu wasilete uzushi wao hapa kuwa mara Balali kauwawa mara kajinyonga. Kwani wanajua nini kimemuua.
Jamani acheni uzushi, Balali amekufa.
Inatosha, tuendelee na shughuli za kujenga taifa.
Taifa halijengeki kama mafisadi wataendelea kubebwa!!!! It is a waste of time.
Nani anayewabeba mafisadi?
Kupiga makelele kwenye mitandao ndio kutazuia mafisadi wasibebwe?
Kwahiyo unataka niambia kwamba wewe hulioni kabisa suala hili la recycling serikalini? Na kwamba wewe hutumii mtandao sasa hivi kupiga kelele za kuwabeba mafisadi?
CCM na serikali ya mabwanyenye mafisadi washamla mshikaki huyo!!! Ndo faida ya kutmikia chama cha siasa badala ya watu. yeye alikuwa anawaidia CCM na wao wamemtumia kama napkin au CONDOM!! ukishamaliza hufui condom. Unaitupa na uchafu wake.
CCM wamemtumia balali kama CONDOM ili wasipate ukimwi wa kisiasa
Usicheze na CCM
Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Huyo zaidi ya kubishana ya JK anabishana na Mungu...Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Huyo zaidi ya kubishana ya JK anabishana na Mungu...
Mheshimiwa Raisi wa Tanzania -JK ameshasema kuwa kifo cha Balali ni kazi ya mungu. Je wewe unabishana na Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Kuna watu bwana wanamatatizo kweli, kuzusha tu mambo hapa na kuanza ubishi ambao hauna msingi. Watu hawajui magonjwa yote aliyokuwa nayo Balali na sasa wameanza kupiga makelele kuwa mara ameuwawa na mara hajafa.
Hii inatisha. JK ni mcha mungu na amesema kuwa hii ni kazi ya mungu. Mwenye ushahidi tofauti aulete hapa badala ya kuanzisha siasa za kupakana matope bila sababu yoyote.
Sijaona siasa yoyote ya kupakana matope humu ndani. JF ni pahala ambapo kila mmoja anakuwa free kutoa maoni yake kulingana na mtazamo wake wa mambo kwa kutumia akili na maarifa. Kama wewe unaona kwamba ni vibaya watu ku-discuss issues kulingana na mitazamo yao basi nafikiri pahala hapa hapakufai ndugu yangu.
Hii ni kweli ndugu yangu lakini ukisoma yanayoandikwa humu kuhusu kifo cha Ballali, kuwa mara kuna watu walituma na serikali kwenda marekani (makachero) kumuua Ballali, na mengine mengi ya kukihusisha ccm kwenye huu msiba ni makosa makubwa.
Watu watulie, wavute pumzi na kutafakari kifo cha Ballali kwa nia nzuri tu na kisha tuendelee kujenga taifa letu bila kupakana matope bila ushahidi wowote.
Ndugu Masaka, nilishasema Taifa la Tanzania kwa mwendo wa sasa hivi halijengeki na halitajengeka kama hatutabadili the mind-set ya waTZ wote pamoja na ku-get rid of mafisadi.
Mimi siwezi kupoteza mda wangu kufikiria kwamba ninapopanda basi asubui la Mwembechai-Posta kuelekea kazini, kwamba nakua naelekea kulijenga taifa. Ninafahamu fika kwamba nguvu zangu zote ninazozitumia kazini katika masaa 8 zinakuwa zinapotea bure.
Lets get rid of Mafisadi first and then we can discuss about kujenga taifa.
kumbe wewe mwenyewe fisadi !!!