Kifo cha ccm hiki hapa

MAN OF CHANGES

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
507
191
Kwa chama chochote cha siasa chenye umakini sehemu yoyote duniani kamwe hakiwezi kuogopa changamoto kutoka kwa vyama vingine vya upinzani ndani ya nchi, lkn kwa Tanzania imekuwa ni kama vichekesho kuona chama tawala viongozi wake wanaogopa cdm mpk inafikia hatua mkwere anatangaza kwenye vyombo vya hbr kuwa cdm wanataka kupindua siri kali yake. Kama kweli ninyi ni wakongwe uoga wa nini????? tulieni muone mechi inavyochezwa na pipozi pawa kweli chama cha majambazi (ccm) kinakufa kwa kuwaogopa simba wa nyika (cdm)
HOFU ZA CCM NDIO KIFO,SANDA,JENEZA NA KABURI LAO.

KUFAAAAAAA CHAMA CHA MAJAMBAZI, TUMECHOKA MAWAZO YENU YALIYOKUFA TANGUI 1977.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom