Kakke JF-Expert Member Dec 4, 2010 1,883 1,482 Jun 16, 2012 #1 Bonyeza uone Umma ulivyo ikubali Chadema Chadema Blog: CHADEMA WAFANYA MKUTANO MKUBWA IRINGA LEO
S sahini Member Apr 28, 2012 28 3 Jun 17, 2012 #2 Niliwaambia siku moja,waacheni waibe tu.Iko siku yatatimia tu wataiba lakini wakati utaisha kabla hawajazitimiza.Wakati ndio huu.
Niliwaambia siku moja,waacheni waibe tu.Iko siku yatatimia tu wataiba lakini wakati utaisha kabla hawajazitimiza.Wakati ndio huu.
B Bob G JF-Expert Member Oct 5, 2011 2,351 449 Jun 17, 2012 #3 Kazi ya kuiondoa ccm imekua rahisi mno tofauti na ilivyodhaniwa, wao wenyewe wamejilipua wafe wote
MANGUNGO JF-Expert Member Aug 30, 2011 1,536 352 Jun 17, 2012 #4 Mchele na maharage ya hitima tumesha andaa 2014 ndio hitima yao.RIP CHOO CHA MAKUTI (CCM)