Kifo cha CCM alaumiwe nani?

UWEZO_WAKO

Member
Nov 17, 2010
39
4
Mwalimu alisema msipotenda haki chama hakitasimama....je ni nani hasa wa kumlaumu?
 

Attachments

  • NANI WA KUMLAUMU.png
    NANI WA KUMLAUMU.png
    71.7 KB · Views: 86
  • Makamandachadema.jpg
    Makamandachadema.jpg
    20.8 KB · Views: 92
wapongezwe walioliweka chaguo la Mungu.Kila parameter inaonyesha kuwa anabomoka na ssm.hujui hata US pamoja na kuichukia Vatican walimshukuru John Paul II kwa kuangusha ukomunist?
So wanaomtuhumu Pengo ila wanaichukia CCM na Kumpenda Chaguo la Mungu wasimpongeze. Kwanini hata wasifanye hivi Enemy of your enemy is your friend (Common enemy CCM), Common friend(Kikwete- waislam wanamlinda, Akina Pengo wali mu annoint)....teh teh.Jamaa ni mteule ndio maana hata familia yake inaamini hivyo. Watu wa Kaskazini hawastahili chika nchi, mteule ndio anajua mrithi wake.

Napita tuu.
 
wana mtandao kwa kuchagua waziri wa mambo ya nje(ipo ktk damu) kuwa rais na waziri wa mambo ya nje aje kutafuta urais.apongezwe alichokialaani kwani kila wagusacho kinapata najisi....sikiliza zitto bungeni anachosema ktk Bunge jamaa waligombania kodisha ndege mbovu ili wakamtengenezee mwenye ndege..Mnao East african community..nashukuru CDM hawakupeleka mtu kwani kuna uwezekano magamba wangekuwa wakizomee hata huko.wanpoachia ubongo uongozwe na adrenaline ni issue.
 
hata NAPE anaplay part kubwa san katika kuiangamiza CCM.
Watu wakileta Hoja Yeye anakuja na vioja!!!
source: his facebook page!
 
"Tembo wanapopigana, zinazoumia ni nyasi"
Mwl. Nyerere akaongezea, "Hata tembo wanapofanya mapenzi, zinazoumia ni nyasi"
Wa kulaumiwa ni JK na Lowasa na makundi yao.
 
Wakulaumiwa ni CHADEMA ndo ugonjwa mkubwa unaomsumbua ccm.Na hii M4C ndo virus kabisa kwa CCM.
 
Nani kakudanganya kwamba Ccm imekufa?
Ccm itasimama milele, acha kujipotosha.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI"
 
Mi hata sioni wa kulaumiwa, CCM deserves death. No way one can serve it from death...Kila chenye mwanzo kina mwisho pia...haijalishi ni mwisho wa aina gani....mbaya au mzuri.....safi....let it die....
 
Ccm angekuwa ni mtu sasa hivi maandalizi ya mazishi yangekuwa yameshaanza, ubongo ukifa ndio mtu ameshakufa hata kama bado anapumua! Ccm imeshakufa ubongo
nani kakudanganya kwamba ccm imekufa?
Ccm itasimama milele, acha kujipotosha.
.
"wasiosoma ni chakula cha wasomi"
 
Ccm angekuwa ni mtu sasa hivi maandalizi ya mazishi yangekuwa yameshaanza, ubongo ukifa ndio mtu ameshakufa hata kama bado anapumua! Ccm imeshakufa ubongo
Kwani mkuu ccm imeshaiaga nchi? Usiizike kabla roho haijatoka.
 
wa kulaumiwa ni babu wa Samunge. Alifanya serikali na ccccm vika-concentrate kwake wakasahau matatizo ya wananchi.:yell:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom