Kifimbo cha Nyerere Kiko Wapi?

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,589
2,140
Am curious to know, Kifimbo cha Nyerere kiko wapi ama amekabidhiwa nani?
 
Kilikuwa na uhusiano gani na Taifa hili au na utawala wa Mzee Nyerere? Mbona huulizi miwani yake au kaunda suti zilipo?
Siku mtakuja kuhoji pete za rais wetu msikivu Jakaya Mrisho Kikwete kanakwamba zinamahusiano na uongozi wake au taifa hili

Tujadili au tulete hoja zenye maslahi kwa kaifa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kazikwa nacho... keshaoza sasa itakuwa
Mwili wake ilikuwa preserved vizuri kama miili ya mafarao haozi milele na kifimbo kile cha ebony na ivory kitaishi milele!.

Process ya kumtangaza mwenye heri inaendelea!.
 
Back
Top Bottom