Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nasikia watu wakizungumza kuwa kuna ugonjwa unaitwa kifadulo/ro.
Kwa wale wataalamu wa tiba naomba mnifahamishe kwa lugha rahisi niulewe, unasababishwa na nini, dalili zake na matibabu yake.
Pia je, matumizi ya chumvi nyingi huchangia mtu kuugua kifadulo/ro??