Kifaa cha kukagua walevi kufungwa bungeni

Kuna tetesi kuwa kuanzia bunge lijalo kutafungwa kifaa cha kukagua ulevi kwa wabunge kutokana na baadhi yao kuhisiwa kuwa wamelewa kwa kusinzia ovyo,kuropokaropoka,kutokutii amri za spika na kusahau sahau kanuni na taratibu za bunge hali iliyopelekea bunge kuwa kama ze komedi shoo watakaobainika kuwa wamepata kilevi watazuiwa kuingia mjengoni nawasilisha.


Kupima ulevi huhitaji kufunga kifaa kikubwa. zipo "breathalyzer" nyingi sana ambazo ni ndogo sana na portable wanaweza hata kuanza kesho kupima walevi
 
nimedokezwa kuna wajumbe wa kamati wameondoka jumatatu kwenda marekani kufuatilia vifaa vya kisasa vya teknolojia ya juu kupima ulevi wa pombe, bangi na unga.
 
Huu ni wakati muafaka kufungwa hiki kifaa ili bunge la katiba linoge na lisiboe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom