Kifaa cha kisasa kinachorusha internet kwa njia ya wireless kwa kutumia line za simu

Ukiwa na laptop. Connectify wifi hotspot ni bure.

Ukiwa na BB wifi hotspot ni bure.

Ukiwa na android tethering ni bure.

Hako kakifaa kako kamepitwa na wakati. Mimi nimetumia kama hako kanaitwa Huawei mobile wifi na sasa kamekaa bure hakana kazi.

Anyway sikulaumu sana kwani technology ya digital inabadilika kwa haraka sana kila siku.
 
Ukiwa na laptop. Connectify ni bure.

Ukiwa na BB wifi hotspot ni bure.

Ukiwa na android tethering ni bure.

Hako kakifaa kako kamepitwa na wakati. Mimi nimetumia kama hako kanaitwa Huawei mobile wifi na sasa kamekaa bure hakana kazi.

Anyway sikulaumu sana kwani technology ya digital inabadilika kwa haraka sana kila siku.

Niuzie aisee.
 
OOh kumbe hii nyuzi toka April 2012 ndiyo maana imepitwa na wakati, samahani nilivyojibu juu huko nilifikiri ni ya sasa.
 
Je nawezaje kupata hicho kifaa ambacho kitaweweza kutumia kwa kompyuta 20 katika cafe yangu?
habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho mifi kutoka marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya wireless. Kifaa hichi kama kinavyoonekana hapo chini kwenye picha kina uwezo wa kuunganisha hadi computer tano kwa njia ya wireless na kukupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.

mifi_2372_front_v2.png
579085_360291057355171_100001228408321_1094464_1613862918_n.jpg


sifa za kifaa hiki:

  • kifaa hiki kina uwezo wa kuconnect hadi device 5 zenye uwezo wa wifi kwa wakati mmoja kama vile computers, pda's, cameras, music players, personal game players n.k huku ikiendelea kukupa internet yenye speed na kasi ya ajabu.
  • kifaa hiki kinatumia rechargeable battery aina ya lithium ion yenye uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa manne hivyo huna haja ya kuwa na wasi wasi wa kukosa mtandao endapo ukiwa katika eneo ambalo halina umeme.
  • pia kifaa hiki kinamrahisishia mtumiaji kuweza kuconnect internet kwa njia ya wireless mahali popote na wakati wowote bila ya kuwa na haja ya kuinstall software yoyote.
  • pia kifaa hiki kinatumia line za mitandao yote ya simu ya mkononi hivyo kukurahisishia wewe mtumiaji kuweza kubadilisha line endapo mtandao mmoja utasumbua badala ya kuwa na modem za mitandao yote ya simu ambazo pia zinaweza kusababisha error katika computer yako endapo utainstall software nyingi za modem katika computer yako.
  • kifaa hiki pia kina muonekano mzuri, kidogo mfano wa simu aina google ideos na ni chepesi ambacho kinakuwezesha wewe kuweza kutembea nacho kwa urahisi mahali popote upendapo.
  • kifaa hiki pia kina uwezo wa novaspeed ambayo inakupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.
  • kifaa hiki kina uwezo wa kusafirisha signals za wireless kwa zaidi ya mita 10 (30ft).

kwa sasa kifaa hiki kinapatikana arusha ila kwa wale ambao wako nje ya arusha na wangependa kupata kifaa hiki wawasiliane nasi na tutawapa maelekezo ya jinsi ya kuvipata vifaa hivyo.

bei: bei ya kifaa hiki ni sh. 140,000/=

kwa wale wangependa kununua kifaa hiki tafadhali naomba mtoe order zenu kupitia sales@youngmaster.co.tz

pia kama kuna mtu yoyote mwenye maswali au maoni kuhusiana na hiki kifaa asisite kuwasiliana nasi kupitia support@youngmaster.co.tz
 
Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya wireless. Kifaa hichi kama kinavyoonekana hapo chini kwenye picha kina uwezo wa kuunganisha hadi computer tano kwa njia ya wireless na kukupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.

MiFi_2372_front_V2.png
579085_360291057355171_100001228408321_1094464_1613862918_n.jpg


Sifa za kifaa hiki:

  • Kifaa hiki kina uwezo wa kuconnect hadi device 5 zenye uwezo wa WiFi kwa wakati mmoja kama vile Computers, PDA's, cameras, music players, personal game players n.k huku ikiendelea kukupa internet yenye speed na kasi ya ajabu.
  • Kifaa hiki kinatumia Rechargeable battery aina ya Lithium Ion yenye uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa manne hivyo huna haja ya kuwa na wasi wasi wa kukosa mtandao endapo ukiwa katika eneo ambalo halina umeme.
  • Pia kifaa hiki kinamrahisishia mtumiaji kuweza kuconnect internet kwa njia ya wireless mahali popote na wakati wowote bila ya kuwa na haja ya kuinstall software yoyote.
  • Pia kifaa hiki kinatumia line za mitandao yote ya simu ya mkononi hivyo kukurahisishia wewe mtumiaji kuweza kubadilisha line endapo mtandao mmoja utasumbua badala ya kuwa na modem za mitandao yote ya simu ambazo pia zinaweza kusababisha error katika computer yako endapo utainstall software nyingi za modem katika computer yako.
  • Kifaa hiki pia kina muonekano mzuri, kidogo mfano wa simu aina google IDEOS na ni chepesi ambacho kinakuwezesha wewe kuweza kutembea nacho kwa urahisi mahali popote upendapo.
  • Kifaa hiki pia kina uwezo wa NovaSpeed ambayo inakupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.
  • Kifaa hiki kina uwezo wa kusafirisha signals za wireless kwa zaidi ya mita 10 (30ft).

Kwa sasa kifaa hiki kinapatikana Arusha ila kwa wale ambao wako nje ya Arusha na wangependa kupata kifaa hiki wawasiliane nasi na tutawapa maelekezo ya jinsi ya kuvipata vifaa hivyo.

BEI: Bei ya kifaa hiki ni sh. 140,000/=

Kwa wale wangependa kununua kifaa hiki tafadhali naomba mtoe order zenu kupitia sales@youngmaster.co.tz

Pia kama kuna mtu yoyote mwenye maswali au maoni kuhusiana na hiki kifaa asisite kuwasiliana nasi kupitia support@youngmaster.co.tz

na pia kifaa hicho hakibalishiki passwod😈😨
 
Back
Top Bottom