Kidonda kwenye Uume

mkuu nunua vinegar
chukua nusu kikombe cha vinegor weka nusu kikombe cha maji

chukua kikombe kirefu MWAMBIE ALOWANISHE MBOO YAKE DK 15 KWA SIKU TATU
NJOO HAPA JF UNIAMBIE NAKUTAKIA UPONYAJI MWEMA RAHA YA MILELE AMPE EEBWANA NA MWANGA WA UKO CHINI AMWANGAZIE ATUMIKE KWA AMANI ASIARIBU AKIPONA
 
mwambie aacha kijukuna na awe msafi. Kwa bongo sina uhakika, Ila Angekuwa yuko Uku India ningem-direct kwa Daktari mzuri, (specialist wa mambo hayo). Hata mimi mwaka jana nilikuwa na hilo tatizo. nashukuru Mungu huyo Daktari alinisaidia. Na sasa niko poa
 
Hilo ni kaswende mkuu,wala halina haja ya kusubiri kapate dawa kabla kichwa cha uume hakija katika

vipi hayo majimaji yana kaharufu? kama kaharufu kapo basi hilini likaswende kalitibie na kuanzia hapo uwe unatumia mpira kama huwezi basi subiri hadi utakapo kuwa na mke
 
mwambie aacha kijukuna na awe msafi. Kwa bongo sina uhakika, Ila Angekuwa yuko Uku India ningem-direct kwa Daktari mzuri, (specialist wa mambo hayo). Hata mimi mwaka jana nilikuwa na hilo tatizo. nashukuru Mungu huyo Daktari alinisaidia. Na sasa niko poa
Mkuu kama kuna madawa uliandikiwa na kama tatizo linafanana basi zitafute documents umpatie ili ampe huyo kijana wetu, kwa njia hii utakuwa umemsaidia pia. Pia inafaa kuvaa nguo zisizobana wakati kama huu wa kutumia dawa.
 
Wakuu naomba mumsaidie mdogo wangu anasumbuliwa na kidonda kwenye kichwa cha uume.

Kilianza kama ngozi iliyobabuka au fungus , kukojoe huku anasikia raha na muwasho,lakini sasa kuna kidonda kwenye kichwa na hawezi kuvaa nguo yeyote sasa.

Tafadhali naombeni matibabu yake ili nikamsaidie.

Alienda hospitali akapimwa damu na mkojo, dr akamwambia hana maambukizi yeyote hata kaswende ambayo dr alidhani, haikuwepo.

Alipewa Ampiclixilian na dawa ya kupaka, ila mpka sasa siku ya tatu, kidonda kinazidi kutkua na kutoa maji na usaa.

Hiyo sio sphyllis,kuna uwezekano mkubwa ikawa ni Herpes simplex,mwambie aende hospital kufanya kipimo chake
 
Mkuu kama kuna madawa uliandikiwa na kama tatizo linafanana basi zitafute documents umpatie ili ampe huyo kijana wetu, kwa njia hii utakuwa umemsaidia pia. Pia inafaa kuvaa nguo zisizobana wakati kama huu wa kutumia dawa.

Duh kaka, sina uhakika kama stage aliyofika yeye inalingana na yangu. maana yeye kashaanza kutoka usaha sasa.
ninachomshauri aende akamwone daktari. asinywe dawa bila ushauri wa daktari. dawa huzingatia hali na stage ya ugonjwa. there are cases, a same medicine isiweze tibu, a similar disease.

And apart from that, yeye hajajua tatizo nini? inaweza ikawa case tofauti na yangu. Najua madaktari wa bongo wanabahatisha, nachomshauri akamwone daktari bingwa. siku zote usinywe dawa bila ushauri wa daktari. au kwa kufuata ushauri wa pharmacy za mitaani. unaweza sababisha tatizo kubwa zaidi ya hilo.

NB: kumbuka mwili wa binadamu sio wa majaribio. na sio kujaribu jaribu dawa bila maelekezo sahihi ya daktari sahihi. na usikubali dawa kama dokta humwamini.
 
kamuone dr.ndilo la muhimu,hata mie nilipata shida kama hiyo lakini haikuwa gojwa la zinaa nilipewa vidonge nikanywa na kupaka..nikapona.ila sikufikia hatua ya kutoa usahaa..
 
Dalili kama za chancroid. Kama ndiyo tiba yake ni Macrolides kama erythromycine. Lakini bora apime kuhakikishe hana siphylis.
 
Dont wait until its too late. Nenda haraka kwa specialist ukapate tiba. Any delay can lead you to early retirement of shughuli shughuli. Alafu check pia na HIV. Then, u and we have to take care of HIV/AIDS.
 
Chukua mmea wa Aloevera kamulia hapo yale maji maji yake kwa siku tatu,utaona mabadiliko!!

Septrin pia ni dawa nzuri kwa serious infection kama hiyo!



Mkuu hapo juu wakulu wana suspect hayo ni madhara ya sulphur (labda). Sasa unapomshauri atumie septrin,si ndo ataendelea kujiova dose misulphur na kumpa madhara zaidi ?!
 
Genital Ulcers Disease:

*Common Causatives:
> Treponame pallidum,
> Haemophilus ducreyi,
> Chlamydia
trachomatis,
> Herpes simplex
type2.

* Common complications ni pamoja na:
> Congenital
Syphilis (mtoto
kuzaliwa na
kaswende),
> Inguinal bubo,
> Urethral
fistula kwa
wanaume.
> Phimosis+
Paraphimosis.

* Management ya
Genital Ulcers in
tz with or
without lab
investigation:

> Injection
Penadur 2.4 MU
intramascular
kila wiki kwa
wiki 3.
>Tablets
Erythromycin
500mg kwa siku
mara 4 kwa siku
7.
>Tablets Acyclovir 400mg kwa siku
mara 3 siku 7.


*ZIKIDUNDA:

Mgonjwa
anahamishiwa
kwenye:
>Injection
Ceftriaxone
( Powercef) 1g
intraveinous
kutwa mara 1
siku 5.
 
Hope this is not 'nina rafiki yangu syndrome'. Yawezekena ni chupi za mtumba zimesababisha ama ni kaswende. Kwani dogo ana umri gani?
 
Ikena, nakupa ushauri sahihi kwa 100% naomba utekeleze.......Huo ugonjwa si rahisi kutoa maamuzi bila kuona ,kugusa,kunusa na kufanya vipimo muhimu, Mpeleke hospitali aonane na daktari bingwa, lakini kama upo Dar usimpeleke hospitali za serikali, maana Doctors hawako kwenye mood nzuri ya kutibu.
 
mwambie aacha kijukuna na awe msafi. Kwa bongo sina uhakika, ila angekuwa yuko uku india ningem-direct kwa daktari mzuri, (specialist wa mambo hayo). Hata mimi mwaka jana nilikuwa na hilo tatizo. Nashukuru mungu huyo daktari alinisaidia. Na sasa niko poa

mkuu cole
unaweza kuwa msafi na ukawashwa mpaka sasa sijui utajikuna ama lah..na siamini kuna anaependa kujikuna mpwa hizo ni laana za mzee wetu adamu kufanya kosa na kusahau kuomba msamaha sio tatizo lake
 
nilishawahi kusema kuliko nije jf kuomba msaada wandugu zangu ama mwenyewe kwa mawazo matendo
bora niende Bagamoyo kwa majibu yanayofwata pengine bagamoyo kuna msaada wa mawazo
 
Hyo itakua imesababishwa na metekelfin. Me ilinitokea nikaomba ushauri. By then ckwenda hocptal aftr a wik kikaanza kukauka nw kimepona
 
Back
Top Bottom