Kidele ndani ya nyumba. Je, mnanikaribisha?

kidele

Member
Aug 16, 2011
37
6
Nimekuwa nikikosa uhondo kwa muda mrefu,leo hiii nimeamua na mimi niwe nachangia mada mbalimbali wakuu.
 
karibu sana jamvini. tunaamini utakuja na mawazo ya kuijenga JF na siyo kuifanya ionekane katika jamii kuwa ni genge la wahuni. nadhani umenpata.
 
he/she
ukimkuta kobe juu ya mti ujue kawekwa na mtu tuu hamna kingine.
 
mkuu kidele nilijua ni kidole kumbe siyo na hii ni kutokana na kuathiriwa na jukwaa la ki.. ndo maana..
karibu sana ndugu

ANGALIZO:
jamiiforums rules ndo muhimu sana zisome na uzielewe mkuu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom