Kidali Poo, Malani Malani ya Nkwere!

Unajua tatizo kubwa nilionalo mimi kuwa inawezekana in a way hii sheria ikawa ngumu hasa vijijini-hebu fikiria umekwenda kijijini kwenu kule inyonga halafu jioni ukaenda mahala ambapo wazee hukutana jioni kubadilishana mawazo huku wakigida pombe zetu za kienyeji 'afu nawe [mgombea mtarajiwa]ukajumuika nao kunywa na ukatoa raound za kutosha tuu jee tafsiri yake nini hapa.Au kwenye msiba ukatoa ngombe kufanikisha shughuli ya msiba [Wazee wataitafsiri hali hii kama takrima au rushwa????
 
Back
Top Bottom