Kichuguu Atekwa Nyara

Kichuguu

Platinum Member
Oct 11, 2006
15,502
19,341
Kwa muda mrefu sijaweka post yoyote hapa kwa sababu zisizozuilika ingawa huwa napitia haraka haraka topiki mbalimbali zinazoongelewa. Hata hivyo, siku za mbeleni nitakuwa active tena hasa kwa vile najua kuwa wigo wa majadiliano hapa umekuwa mpana sana ukichanganya na ufungwaji wa zeutamu.

Kilichonishanganza ni kuwa baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu, identity yangu ya KICHUGUU imetekwa nyara. Sasa hivi ni vigumu kujua kichuguu halisi ni nani kwa vile kumekuwa na kichuguu mwingine. Sijui hawa watekaji nyara wanaka nguchiro na mchwa wangu wakaishi wapi, mungu wangu.

Jana nilikuwa nataka kuregister domain name ya KICHUGUU.COM nikaambiwa kuwa jina hilo lina wenyewe. Kutafuta ni nani huyo, nikagundua kuwa ni mwanachama wa JF wa siku nyingi na aliregister domain hii mwaka huu tu wakati nilipokuwa sisikiki. Hii ni kuoneana kabisa.

Hata hivyo nawaomba wanachama mtambue kuwa huyo Kichuguu.com ni impostor tu, Kichuguu halisi ni mimi na bado nipo.
 
Mkuu,
Tume miss sana michango yako ya kina, hope utarudi mapema zaidi.
 
Jana nilikuwa nataka kuregister domain name ya KICHUGUU.COM nikaambiwa kuwa jina hilo lina wenyewe. Kutafuta ni nani huyo, nikagundua kuwa ni mwanachama wa JF wa siku nyingi na aliregister domain hii mwaka huu tu wakati nilipokuwa sisikiki. Hii ni kuoneana kabisa.

Kichuguu.com inabidi iwe yako kwa vile wewe ndio ulikuwa wa kwanza ku register JF? Vipi kama mwingine alianza kulitumia Kichuguu.com kabla ya JF kuanzishwa? Na alizaliwa nalo? Ukisajili jina JF ndio umeshakamata copyright ya "Kichuguu" dunia nzima? Watu wengine bana kwa kuwa carried away na hii JF thing, it's incredible
 
Back
Top Bottom