Kichekesho

frank mmpungu

New Member
Jan 15, 2012
3
0
Mtoto mmoja alienda kucheza huku akiwa na viatu mguuni lakini aliporudi alirudi na kiatu kimoja mguuni baba akamuuliza kiatu kipo wapi ,mtoto akajibu kimepotea ,baba akamwambia bac mwanangu 2muachie mungu lakini akajibu ....."Baba hapana ni vidogo mungu vitambana"mpo hapo ndugu zangu.MUNGU AWABARIKI SANA
 
Back
Top Bottom