kichekesho:Vipi Sumsung wakiwalipa Appl $1bn -soma hapa

Habri ya kushekesha na kukumbusha wansheria kuwa makini wanavyotoa huduma.Hapa mwanasheria kuacha kuweka kipengele cha kuelekea jisni ya kutoa malipo ya fine katik kesi ya Apple dhiniya Sumsung.Je habari hii ikiwa kweli mambo yatakwendaje?By the way ni kichekesho Samsung watapata wapi hizo safaru zote?Som ahap ujichekee.
Samsung Pays Apple $1 Billion Sending 30 Trucks Full of 5 Cents Coins - Paperblog

Mkuu hebu tulia uandike vizuri basi ueleweke, maana umeandika mkorogo kwelikweli.
 
Habri ya kushekesha na kukumbusha wansheria kuwa makini wanavyotoa huduma.Hapa mwanasheria kuacha kuweka kipengele cha kuelekea jisni ya kutoa malipo ya fine katik kesi ya Apple dhiniya Sumsung.Je habari hii ikiwa kweli mambo yatakwendaje?By the way ni kichekesho Samsung watapata wapi hizo safaru zote?Som ahap ujichekee.
Samsung Pays Apple $1 Billion Sending 30 Trucks Full of 5 Cents Coins - Paperblog
kwa waelewa wa mambo ya kibiashara pamoja na shirika apple kulipwa pesa zote hizo zaidi ya $bilioni 1 na upuuzi ila atakaefaidika zaidi ni samsung kwa kuwa toleo la simu alilotoa ambalo kaiga kwa kiasi kikubwa kwa apple ni bei rahisi sana,kwa maana hiyo mwaka huu tu samsung ikiingiza faida ya $ bilioni 25-$ bilioni 1 aliyowalipa apple ana $ bilioni 24 safi hehehehehe hao hawaendi kichwa kichwa na kabla ya kutengeneza simu hiyo walishajua mahakamani watapelekwa na faini watalipa walipoona inawalipa wakaamua kuiga hiyo kitu!!!(huko watu wahaendi kichwa maji)
 
Halafu ki ukweli hii ni hoax tu na si kweli. Samsung wamezipata wapi coins zote hizo wakati wenyewe biashara yao si ya rejareja ya kupokea hizo coins. This is totally a hoax.
 
ivi naomben msaada wadau...ni simu gani iyo ambayo samsung wamekopy na kupaste toka kwa apple
 
fungua hizo picha utaelewa mengi juu ya sakata hili
 
Attachments

  • d.d.d.d.d p 145.jpg
    d.d.d.d.d p 145.jpg
    33.2 KB · Views: 66
  • d.d.d.d.d p 146.jpg
    d.d.d.d.d p 146.jpg
    20.9 KB · Views: 66
Back
Top Bottom