ukweli usiopingika wanyambo ni kabila kabisa. Lugha yao inashabiana na kihaya wala sio kihaya. baadhi ya tamaduni zinatofautiana. mtoa mada ukitaka fanya utafiti au sema tykusaidie nina uwezo wa kkukupa tofauti ya wanyambo na wahaya zaidi ya ishirini
Bila kusahau hata wasukuma pia kama magufuli kwao ni kagera kule wanaitwa wasumbwa!!msichoelewa si kila mwana kagera ni muhaya wapo wanyayangilo, waziba, wanyambo, wahamba, wakara,wahaya,wasubi n.k sasa mimi sioni hoja iko wapi kuwabeza wanyambo na umoja wao. ni mtazamo tu nipo tiyari kusahihishwa kwa hoja
Bukoba(Vijijini), Bukoba (Mjini), Misenye, = Wa-Haya
Biharamulo, Chato = Wa-Subi
Ngara = Wa-Hangaza
Karagwe = Wa-Nyambo
Tatizo liko wapi? Wote wanatoka mkoa wa Kagera na wanajulikana kwa umoja wao kama "Wahaya"
Ningeomba unijuze tofauti iliyopo kati ya wanyambo na wahaya!!Kama hujarudi kulekule!!ukweli usiopingika wanyambo ni kabila kabisa. Lugha yao inashabiana na kihaya wala sio kihaya. baadhi ya tamaduni zinatofautiana. mtoa mada ukitaka fanya utafiti au sema tykusaidie nina uwezo wa kkukupa tofauti ya wanyambo na wahaya zaidi ya ishirini
Nadhani atakuwa amekuelewa ngoja tumpe mda atatujibu ili upate ufahamu mzuri kuhusu wanyambo!!Mimi nina miezi kadhaa toka nimefunga ndoa na Mnyambo. Majuzi pia nilikuwa kwenye hilo tamasha la Wanyambo pale Makumbusho nipate kuwajua zaidi maana baba watoto wangu hafahamu sana kuhusu Karagwe na Wanyambo kwasababu amewahi kwenda huku mara moja tu tena akiwa mdogo. Hebu nijuze hizo tofauti ishirini. Tamasha sikulifaidi niliweza kuhudhuria siku moja tu na kwa muda mchache. Niko very interested kujua habari zao maana awali niliambiwa ni kama wahaya tu mara wamechanganyika sana na wanyarwanda
Umenifurahisha sana kwa ufafanuzi wako!!ThanksTofauti ni ndogo sana, huwezi kumleta mgeni akatofautisha mapishi ya chakula cha Wanyambo na Wahaya, pombe ni ile ile LUBISI inatokana na ndizi kali; nimewasikia mimi mwenye wanasema pombe lazima utumie EKITEGERA je hii ina tofauti gani na Wahaya, wanazungumzia mpaka senene, Je Karagwe kweli (ENSENENE ZIGWAYO?) tofauti labda AMAKONDELE na baadhi ya matamshi ya baadhi ya maneno, lakini mbona hata sisi tuna tofauti zetu katika usemaji/matamshi wa KIHAYA lakini hilo sisi halitupi shida au kutufanya tuchukiane au kulalama kwamba mimi ni Mziba husihite Muyozya, mimi Muhamba usunihite Munya'yangiro, mimi Mukara husihite Muhendangabo. HAYAS are not some monster they haven't eaten ANYONE.
Mimi sina matatizo na tamaduni zao, kilicho nisikitisha ni hiki cha kuandika karibu magazeti yote kwamba sijuhi mwalimu mkuu wa Kihaya aliwahi kumlazimisha mwanafunzi wa Kinyambo abadilishe kabila na kujitambulisha kama Mhaya, labda hiyo ilikuwa an isolated incident hawakuishia hapo walilaumu kwamba sijuhi maaskofu/wachungaji waliwalazimisha wasome biblia zilizo andikwa kwenye Kihaya hivyo kusababisha Kinyambo kuingiliana na maneno ya Kihaya kikawa diluted! Sijuhi eti Mkama Kahigi aliwafanyia vitu vya kikatili! Kinacho shangaza wenyewe wanaona fahari kwamba wakati fulani Chief wao Rumanyika aliwahi kutawala karibu robo tatu ya mkoa wa Kagera na kuwafanya wenyeji vijakazi, lakini Chief Kahigi akishirikiana na Wajerumani walipo wageuzia KIBAO wakamuona mbaya.
Mwisho ingawa nina mengi ya kusema, impression niliyo pata ni as if Wahaya wako hell bent kuwameza Wanyambo na tamaduni zao, hiyo si kweli hata kidogo. Katika makala zao one could read between the lines ya kuonyesha kwamba wako very industrious na WAHAYA ni wavivu; it was a well organized event ya kujaribu ku-teardown WAHAYA by bulding themselves up, hakuna anaye wakataza kufanya tamaduni zenu lakini zisiwe at the expense ya kuwadhalilisha wenzenu, mbona Wahangaza na Wasubi wamewahi kufanya tamaduni zao sikuwahi kuwasikia wanawazulia Wahaya au kuwalalamikia, ASIMWE RUHANGA.
Wewe mimi sijskusoma kabisa kwani hata kihaya ulichoandika sikihaya sijui nikabila gani wewe binafsi twambie humu kwenye huu mtandao umekuja kujifunza somo lipi? hili nasi tujue!!Mwabanza Kujoborwa olwo Mwasiga ekibalesile omu omuli Rwegeso lwe mshonga mkatailila ebitali bwanyu, msitikwe ahansi Mwegese ebikorwa birungi omuli egi mitandao
Maana yake kuwa Mmeanza kuongea ovyo kuacha kilichowaletwa humu kwenye kujifunza na kufundisha mkaingilia ambavyo haviwahusu, kaa chini fundisha na kemea mambo muhimu kwenye mtandao huu
Tofauti ni ndogo sana, huwezi kumleta mgeni akatofautisha mapishi ya chakula cha Wanyambo na Wahaya, pombe ni ile ile LUBISI inatokana na ndizi kali; nimewasikia mimi mwenye wanasema pombe lazima utumie EKITEGERA je hii ina tofauti gani na Wahaya, wanazungumzia mpaka senene, Je Karagwe kweli (ENSENENE ZIGWAYO?) tofauti labda AMAKONDELE na baadhi ya matamshi ya baadhi ya maneno, lakini mbona hata sisi tuna tofauti zetu katika usemaji/matamshi wa KIHAYA lakini hilo sisi halitupi shida au kutufanya tuchukiane au kulalama kwamba mimi ni Mziba husihite Muyozya, mimi Muhamba usunihite Munya'yangiro, mimi Mukara husihite Muhendangabo. HAYAS are not some monster they haven't eaten ANYONE.
Mimi sina matatizo na tamaduni zao, kilicho nisikitisha ni hiki cha kuandika karibu magazeti yote kwamba sijuhi mwalimu mkuu wa Kihaya aliwahi kumlazimisha mwanafunzi wa Kinyambo abadilishe kabila na kujitambulisha kama Mhaya, labda hiyo ilikuwa an isolated incident hawakuishia hapo walilaumu kwamba sijuhi maaskofu/wachungaji waliwalazimisha wasome biblia zilizo andikwa kwenye Kihaya hivyo kusababisha Kinyambo kuingiliana na maneno ya Kihaya kikawa diluted! Sijuhi eti Mkama Kahigi aliwafanyia vitu vya kikatili! Kinacho shangaza wenyewe wanaona fahari kwamba wakati fulani Chief wao Rumanyika aliwahi kutawala karibu robo tatu ya mkoa wa Kagera na kuwafanya wenyeji vijakazi, lakini Chief Kahigi akishirikiana na Wajerumani walipo wageuzia KIBAO wakamuona mbaya.
Mwisho ingawa nina mengi ya kusema, impression niliyo pata ni as if Wahaya wako hell bent kuwameza Wanyambo na tamaduni zao, hiyo si kweli hata kidogo. Katika makala zao one could read between the lines ya kuonyesha kwamba wako very industrious na WAHAYA ni wavivu; it was a well organized event ya kujaribu ku-teardown WAHAYA by bulding themselves up, hakuna anaye wakataza kufanya tamaduni zenu lakini zisiwe at the expense ya kuwadhalilisha wenzenu, mbona Wahangaza na Wasubi wamewahi kufanya tamaduni zao sikuwahi kuwasikia wanawazulia Wahaya au kuwalalamikia, ASIMWE RUHANGA.
Hiyo mbah ni mdogo kwenda mkubwa!!Je mkubwa kwenda mdogo??Wahaya mkumbwa kwenda mdogo kuna aina nyingi ya salamu kama ifuatavyo:-Asubuhi O'railota,O'railotai,Orailotaige! Unaona kama yanafanana!! Lakini yanatofautiana kwa matamshi!!,Mchana!-Wasibota,Wasibotaigea!Nataka wewe ueleze neno naomba maji yakunywa kwa kinyambo nakwakihaya tuone tofauti ya wanyambo na wahaya!!Tofauti ya kwanza ni salamu:
Wanyambo wanasalimia Mbah!! mfano mtu kama unamzidi ki umri hiyo ndo shikamoo. Wa haya wakubwa kwa wasogo ni Ma sibota!!!!
Je umeelewa??Asante mkuu kwa ufafanuzi huo.
Haupiti mwezi humu JF bila Wahaya kujadiliwa.
Hii inadhihirisha kuwa our tribe is very famous.

msichoelewa si kila mwana kagera ni muhaya wapo wanyayangilo, waziba, wanyambo, wahamba, wakara,wahaya,wasubi n.k sasa mimi sioni hoja iko wapi kuwabeza wanyambo na umoja wao. ni mtazamo tu nipo tiyari kusahihishwa kwa hoja

Hello Friend.

How Are You And Also About Your Present Condition Of Health I Know All Is Well With You If So Thanks Be To God Almighty For Making It So.

WELL WITH OUT WASTING OF OUR TIME.. My Name Is Miss mirian, A Young Girl I Am Looking For one who I Will Relate With for love and longterm relationship.

For More Info I will Send You My Photo For You To Know More About Me, Please Do Mail Me On This

email... mirian2love@yahoo.co.uk

Yours

mirian