asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,666
- 1,402
Shimbonyi?
Lugha Yangu mm najua kuongea kinyaturu na kiswahili tu, lakin katika pitapita zangu nimekutana na wachaga wengi wananiuliza wew nyumban wapi?? Na nikiwatajia jina langu wananiambia wew ni mchaga mwenzetu, hata katika pita pita zangu nashangaa wachaga wananisalimia kikwao "shimbonyi?
Na mie hukosa cha kuwajibu hapo , ningependa tufundishane kichaga hapa kwa wana jf chaga !
Cha ajabu wananiambiaga nikaulize vizuri nyumbani mm kabila gani
Mr. Asubuhi ,
NB kichaga ~ tafasiri moja kwa moja ,nitashukuru sana