Kichaa

shakamohd

Member
Dec 28, 2011
49
6
Kichaa mmoja alikuwa wodini na wazee wake na maongezi yao yalikuwa hivi:- Kichaa: Naikumbuka siku ya harusi ya wazazi wangu yani sitoisahau maisha kwani ilikuwa siku yakufa namtu, Mama siunakumbuka? Mama: ndio mwanangu naikumbuka. Kichaa: aah mama acha uongo unakumbuka nini? Wakati ule wewe ulikuwa bado mdogo! Teh teh teh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom