Jakubumba JF-Expert Member Mar 5, 2011 1,624 500 Aug 23, 2012 #1 Kichaa mmoja alipanda juu ya mwembe asubuhi, ilipofika jioni akajiangusha chini, dokta alipomuuliza kwanini amejiangusha akamjibu alikuwa ameiva!
Kichaa mmoja alipanda juu ya mwembe asubuhi, ilipofika jioni akajiangusha chini, dokta alipomuuliza kwanini amejiangusha akamjibu alikuwa ameiva!