Kichaa avamia s/msingi aua mwanafunzi,walimu wacharangwa mapanga

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67

MTU anayedaiwa kuwa mgonjwa wa akili amevamia shule ya msingi Kabutaigi wilayani Muleba na kumuua mwanafunzi wa darasa la nne na kisha kuwajeruhi walimu wawili kwa mapanga.
Mkuu wa Wilaya hiyo Angelina Mabulla ametbitisha kufanyika kwa mauaji. masikitiko.png

Hali ya masikitiko kijijini hapo
 
dah inasikitisha saaana! Kweli hii serikali ni legelege km kinyesi cha ngedere inaacha vichaa wanarandaranda mitaani na kudhuru wananch, hp Motown kn kichaa alimbaka nesi live mchana kweupeee maskini yule nesi alikunywa sumu akafa.
 
pole kwa wafiwa na majeruhi pia...........M/Mungu ailaze roho ya marehemu kijana wetu peponi
 
Dah! huyu kichaa ameleta hasara kwenye familia, kuzaa mtoto na kumlea adi kufika darasa la nne si kazi ndogo. Lkn hii ya Nesi kubakwa na kichaa adhari nayo ni kubwa kuliko duuuuh!!
 
Mungu awape pumziko la milele na kuwafariji wafiwa waTZ sasa tumeshikilia roho zetu mikononi
 
Kuna haja ya shule kuzungushiwa uzio na kuwekwa walinzi.

Best! Hii serikali legelege kama hii ya JK wanasikia ki2 kama hicho. Rest In Peace kijana wetu na waliojeruhiwa poleni na MUNGU awazidishie nguvu mpone mapema.
 
Back
Top Bottom