Kibwana Dachi wa channel ten kumbe pia ni traffic police

May 24, 2012
79
54
Majira ya Mchana leo 27th September 2012 Maeneo ya Mnazi Mmoja magari yalisongamana sana kwenye makutano karibu na Police Post na kusababisha foleni ndefu sana ndipo Kibwana Dachi alipoingilia kati na kuongoza magari, kwa muda mfupi tu akawa ameondoa foleni ndefu sana. Hongera sana mkuu kwa moyo wa kujitolea......Polisi Jamii@work

PS. Ignore tarehe kwenye picha, kamera ilikuwa haijarekebishwa tarehe




Source: Facebook page
 

Attachments

  • 001.JPG
    001.JPG
    468.4 KB · Views: 310
  • 002.JPG
    002.JPG
    362.5 KB · Views: 250
  • 003.JPG
    003.JPG
    404.7 KB · Views: 182
  • 004.JPG
    004.JPG
    401.9 KB · Views: 570
Polisi Jamii mzuri huyo. si lazima kusimamia ustarabu uwe polisi, hata mwananchi raia ana wajibu huo.
 
Haya traffic wetu wako wapi muda huo? Maana pale kweli panasumbua ila hutawaona pale.
 
............ mambo mawili kwanza anatafuta umaarufu pili kwa asili yake Mzazi wake alikuwa askari wa magereza wa cheo cha juu bila shaka ni mtoto wa quota
 
attachment.php


Hivi hii mikokoteni si ilishapigwa marufuku city centre? au ndio wanaitunishia misuli serikali....
 
Majira ya Mchana leo 27th September 2012! Mbona picha ni za tarehe 5/1/2007!!!!!
 
Back
Top Bottom