Kibwana Dachi, ni nani huyu?

Katika watangazaji ninaowahusudu ni huyu jamaa. Kwanza ni muwazi sana, pili anatumia nidhamu ya hali ya juu, na tatu ni mtafiti asie na mipaka. Ni icon ya pekee katika uhandishi wa habari. Anafaa kuwa Kiongozi pia. Nadhani kina Kibonde inabidi waige watu hawa.
 
hujakosea. Hope walio karibu nae wananufaika sana
 
Nitajitahidi kuanza kuwasikiliza Magic Fm..make hawa Mawingu wananiboa tu siku hizi..kwishneeeey
 
Yupo vizuri, amewahi kuwa kondakta wa mabasi ya Relwe (Railway) kisha akaamua kumalizia maisha kwenye habari. Ana uwezo mkubwa wa kuweka kumbukumbu, ni mtu wa watu na anaipenda kazi yake.
Je ungependa kuwa kama yeye? Jitume na ufanye kazi kwa bidii, wape watu heshima zao na uonyeshe upendo na huruma kwa wenye kuhitaji msaada, utatajwa kama yeye na wengineo wanaovutia/ wanaoigwa kwa wema
 
nilimsikiaga mara moja tu.nkasema huyu jamaa anauelewa mpana sana.ni tofauti na wayeyushaji wengine wa vipindi va asubuhi katika radio zinginezo.every morning i still tune magic fm only to hear from him.
 
Ni ,mwandishi wa habari wa AFRIKA MEDIA GRUP LTD,,,,mara nyingi yupo channel 10,ambao ndio haohao wadau wa magic,c2c,dtv,ctn
Wanamwita mzee wa zaidi ya habari. Napenda uchambuzi wake kwenye kipindi cha Morning Magic. Ni mchambuzi na mtafiti wa kweli. Wadau tupeni details za huyu mwanahabari. Anaweza kuwa role model wangu
 
This guy is truely kind of journalists we need in TZ, jamaa anafanya research extensively ana uhakika na anachokisema, mambo anayoongea, uwezo wa kumbukumbu wake mkubwa, na busara (nafikir umri unamsaidia), ukipata audience naye utaelewa ninachosema. He is good. nafikiri hawa kina kibonde wajitahidi zaidi. Hajulikani sana ila HE IS LOADED WITH INFORMATIONS ambazo zitakushangaza.
 
Mmeshaniuizia kipindi, acha kesho nikisikilize; kama vp nakuja kudai chenji yangu hapa!!
 
Duuu jamaa ana data nyingi sana hadi anaogopesha wakati mwingine anawapasulia ukweli haogopi cha usalama wa taifa au al qaeda yaani anajua sana kazi yake ila ukweli namna ile hadi wa majina utamletea shida siku moja maana watanzania hawapendi kuambiwa ukweli hasa viongozi
 
Naombe gfrequency ya hiyo radio, maana huwa sina tabia ya kusikiliza hizi radio zetu... nataka kuona iyo tofauti aliyo nayo KIbwana maana namfahamu personally
 
Naombe gfrequency ya hiyo radio, maana huwa sina tabia ya kusikiliza hizi radio zetu... nataka kuona iyo tofauti aliyo nayo KIbwana maana namfahamu personally

sasa sijui uko wapi hasa ila kwa dar inapatikana katika 92.9
 
Kibwana Dachi ananikosha sana asubuhi, ila wanampa muda mdogo sana wa kufafanua mambo.. Aongezewe muda..
 
Back
Top Bottom