JoJiPoJi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 2,907
- 3,261
Wandugu salaam,
hii ipo kama jokes lakini ni habari ya kweli ambayo imetokea hivi karibuni hapa mjini,
Kuna kijana alitoka kijijini akaja hapa dar kwa mjomba wake, baada ya kukaa kama siku tatu akapata fursa ya kuja kututembelea kijiweni ndipo alipoanza kutupa stori za pale kwa anko wake; kuwa alipoingia ndani akakuta kikebe kipo ukutani, kwa kuwa hakuwa anajua kazi ya kile kikebe akakiacha lkn muda ulivyokuwa unaenda akaona haiwezekani aendelee tu kukiangalia kile kikebe ndipo alipokisogelea na kukigusa, basi ilipokigusa tu kikebe kibuyu mwaaaaa,alituacha njia panda ndipo baadae tukaja kugundua kuwa hicho kikebe kumbe ni switch,na kibuyu ni balbu,sielewi alitokea pande zipi za Tanzania!!