Kibuti hiki ni balaa

Pole sana muheshimiwa......... yanatokea kila siku.....
farijika kidogo kusikia hauko mwenyewe......
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

The funny thing about breakups is they point out what we didn't even know we had, but don't give us the option of going back into battle armed with that knowledge
 
hayo ni mambo yanayotokea maishani we angalia uwezekano mwingine. "kwani yeye nani bwanaa?"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom