Kibuti hiki ni balaa

wasiliana na Rose1980, lakini nakumbuka leo alisema anahitaji samaki wa kupaka bila shaka!!!

ah bacha bwana paka mweusi anataka viaz et et mmh nitamtafutia maziwa cz viaz vmeisha!!!!!!!!!!!
 
hongera sana shemeji, unajua kuchagua.......umenunua wapi vile.....na mie nimwagizie wangu
Asante shemeji preta.....ila kwenye bluu umenichanganya kidogo, unaagiza za kwako au za nani?? karibu PM
pllllls preta mwambie roy deni langu lile vp jaman....???

Wasisikie kina Finest....cheki pm yako...:A S-rose:
 
ndo umeanza kukua kuna siku macho pua moyo na vyote vinavohusiana vitakuwa na kutu then we will talk the same language:biggrin1:
 
Tufanyaje sasa?nkutumie kwa blututh?viazi vitamuuuuuu mbwiga usipime leo kiporo nimekipumzisha keshooooooooooooooooooo kunako kiporo km kawa!!!
nyie uko asi udhunguni ..mablak coffee mchana mapiza sjui mahambagi haaaaaa aya bwana kulen mema ya nchi tu shetan yu mbion aja!!!!!!

yaani Rose jamani....unanimaliza kabisa.
 
Pole sana ndugu kwa yaliyo kukuta. Huenda mungu hakupanga uwe na huyo mtu.
Jaribu kumshirikisha Mungu ktk kila jambo utakalolikusudia kulifanya. Kumekuwa na matatizo mengi sana ktk mahusiano hasa kutokana na ukweli kwamba wengi wako baada ya kitu fulani tu na siyo mapenzi ya kweli.

Bila shaka mungu amesikia kilio chako naye atafanikisha hayo unayoyahitaji!
 
JF msaada wenu unahitajika kwa maharusi watarajiwa waliopeana buti 2 weeks before kufunga ndoa kufuatia misunderstanding kwenye relationship. Msaada general wasije rudia makosa yaleyale siku za baadae! Maana ilikuwa ni aibu kubwa ukizingatia kuwa maandalizi yalikwishafanyika.
 
Never count what you have lost, just see and thank god for what you have now, because past never comes back but sometimes future gives back more than what you have lost. Pole sana mtu wangu. JESUS IS MY HOME BOY.
 
pole sana kupendwa na kuachwa ni kawaida. inapotokea kupendana ni furaha lakini mkiwa pamoja kwa muda unaweza kuanza kuona mambo fulani tofauti ambayo hulazimisha kuachana, hivyo ikitokea ni kukubali matokeo
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

mlishaambiwa mapenzi ni mpaka mfunge ndoa, mnajidai wa kisasa, sasa utakula jeuri lako kwa kupuuza vitabu vitakatifu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom