Kibuti hiki ni balaa

pole ndo maisha hayo,lkn kama ungependa kufafanua zaidi ili tujue huenda kuna ulipokosea wewe au hata kama sio, ingetuwia rahisi kushauri
:grouphug:
 
pole sana,mapenzi yanaumiza,asikwambie mtu,mpaka likikukuta ndio unayajua maumivu yake,mimi yalishanikuta hayo.ila inategemea ulipenda vipi,na mmeachana kwa mazingira yepi.ila baadae kidonda cha maumivu,kitapona tu
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!
Pole sana ilikuwaje kwani hadi yote haya yakakupata?
 
Pole sana mayenga, unahitaji kutulia ujipange upya usifanye maamuzi ya haraka kutafuta substitute. Mungu akutangulie na akutie nguvu
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

pole sana Mayenga , sasa umekuwa , muombe mungu akupe nguvu na akupe mwenza atakayekupenda kwa dhati.
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

Mwambie please give me last chance!wakati umevaa kimini kama mguu unao!:smiling:
 
tengo miedo..no probrema..i wl send t via msg wory nt!!!
mi naupendaga mgongo wako manake mi wangu upo km wa kenge nakwambia!!!!!

ha ha ha.....mimi huwa najipaka mawese, na pia nakula sana matembele na ngogwe.....hiyo ndio siri ya urembo bibie
 
Never let that lesson to slip away from you. It will make you grow strong. Maisha yetu yamesheheni maigizo makubwa kuliko ya hollywood, trust me. And in the end what matters is your happiness!!
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

Pole sana kaka. Ila kuuliza si ujinga....ulibahatika kupata mtoto na huyo shemeji yetu???
 
"Sikuamini maneno niliyoyasikia kutoka kwako,lakini sasa naanza kuamini.Kweli mapenzi ni upofu kwenye akili yangu,sikulipa nafasi jambo kama hili,but it is too late,kilichobaki ni kuuguza madonda.Mola anisamehe na anitie nguvu,adhabu niliyonayo inatosha,ALL THE BEST.Washika pembe tumeachia."!!!!!!!!!!!

Mh..maumivu ya kichwa huanza polepole..

Hebu elezea tatizo lako usaidiwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom