Compliance order ya 24hrs kwa makampuni manne ya mafuta iliisha jana,makampuni matatu yalianza kuuza mafuta toka jana ila BP yaonekana bado wamegoma. Cha kushangaza EWURA wanajikanyaga kanyaga tu wakati BP wameshindwa kutekeleza ile order. Mnawaogopa nini.......? Mi nlitarajia kuona leo hii mkiwafutia leseni. Acheni ubabaishaji bana.