Kibosile amfumania mkewe akigawa tunda nje ya Ndoa!...check photos

Sawa sasa mimi kama mke ukishanipiga ndo nichukulie kuwa meshaniadhibu na kesi imekwisha tunarudi kuendelea na maisha kama zamani? Sio unibonde halafu bado unipeleke Bakwata sijui au unipe talaka. Nitakutafuta mtaani nikulipizie kweli!!
Ha ha ha Bibie nimeipenda hii....sasa sijui utanifutia masela au wewe mwenyewe?
 
hizi sanamu za michelini mziangalie jamani
zinaitaji mashine ndefu na zilizotullia kama zetu
kuweni makini kuchagua;mi sioni kosa lake huyu dada
mpaka nione sura ya mumewe yawezekana ashushi vinavyosahili
mi nilikimbiaga bonge langu hiv hivi sikusubiri niletewe piche wai
kyruuuuuuuuuuuuuuuu
 
kamchoka mke wake huyo uwezi kwenda fumania mkeo na wapambe na kumrekodi ni aibu kwako pia
 
naataka paja mie akinitoshi kipapatio
mwenzio ataka paja wampa kipapatio nexty??????????
 
ila walimwai sana wangemwacha jamaa apate atakamoja jamani tu we kipondo chote alafu ajamega
 
ahaaaaaaaa usitake nicheke kweli hilo paja la nguvu ebu paparazi wafatilie kama bibie alipewatalaka baada ya skendo


Mkuu mi nishawahi kama ameachika naomba contacts we si unandoa yako
au wataka tukuweke humu
qwi qwi qwi
jaribu bana najua wenye kisu ndio wapitaji
 
Etieee! bora umenipa akili maana kama yeye alikuja na wasaidizi ah nami natafuta wasaidizi wanisaidie kulipiza magumi alonipiga siku ya fumanizi.
Ila raha ya kichapo ushiriki mwenyewe!! Sio kama nashabikia mtu kula kichapo ila kuna wakati asee Kichapo hakikwepeki labda tu uoe Mke bounser kichapo kitageukia kwako!!
 
hizi sanamu za michelini mziangalie jamani
zinaitaji mashine ndefu na zilizotullia kama zetu
kuweni makini kuchagua;mi sioni kosa lake huyu dada
mpaka nione sura ya mumewe yawezekana ashushi vinavyosahili
mi nilikimbiaga bonge langu hiv hivi sikusubiri niletewe piche wai
kyruuuuuuuuuuuuuuuu

teh teh teh!

Maundi yalikutoa knock out mkuu?

Hapana ni tamaa; hhata mkitofautiana kimaumbile ikiwa mnapendana kuna namna ya kumeet half way!:D
 
Usiombe yakukute!

Temea mate chini! Ila tu kumtoa gazetini was too much! Kama kuna watoto huyo Eliza bado ni mama yao!
Ni kweli kabisa na hii inaonyesha jinsi gani baadhi ya wanaume walivyoselfish yeye anachowaza ni ngoja nimkomoe kwa kunisaliti, nimtoe gazetini watu wote wajue jinsi mke wangu asivyoheshimu ndoa. Hawazi watoto kama wapo watajisikiaje au hata ndugu wa huyo mwanamke.

Na utakuta huyo mwanaume mwenyewe ameshamsaliti mkewe mara kibao ni vile tu hajawahitangazwa au kufumaniwa.

Hatutetei uchafu but njia za kuadabishana sometimes zinavuka mipaka.
 
Hii story ni feki na huyo mdada kwenye picha atakuwa amelipwa ili gazeti lipate story za udaku.
 
Hii story ni feki na huyo mdada kwenye picha atakuwa amelipwa ili gazeti lipate story za udaku.
Basi kazi ipo mtu mzima na akili yako umetimia mkamilifu ya nini kujidhalilidsha kwa sababu ya pesa? Si bora ufungue kigenge cha nyanya. Hili ni kubwa sana kwa kweli.
 
I doubt this gazeti write things so that they can get money. mbona picha ya hamisi haipo au ya mgoni wake haipo. hawa wanacreate picha wanamlipa dada mmoja wampige picha kisha wanailink na stroy, then wanauza gazeti (nasikia hawa jamaa wanweza honga mpaka TZS5million).
 
Back
Top Bottom