kibonde na utetezi wa viongozi wastaafu na walinzi wao.

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court.
Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia waandishi wa habari kufuatilia kesi inayomhusu rais wa zamani.
Je isingekuwa busara kuhamisha mahakama ikafanyiwe nyumbani kwa raisi Mwinyi badala ya kuipeleka mahakamani na kuzuia watu kuisikilia?
 
Kibonde tunamfahamu kwa kutetea uozo. Pia anatumia lugha ya matusi mfano kuwaita watanzania wanaoamini kuhusu mambo ya ushirikina kuwa ni washenzi.
 
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court.
Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia waandishi wa habari kufuatilia kesi inayomhusu rais wa zamani.
Je isingekuwa busara kuhamisha mahakama ikafanyiwe nyumbani kwa raisi Mwinyi badala ya kuipeleka mahakamani na kuzuia watu kuisikilia?
Makene acha kujishushia hadhi kwa kujadili asemacho huyo, anatumia platform ya redio kusema ujinga ili ajadiliwe naye apate umaarufu bila kujali anajadiliwa kwa kauli za kijinga
 
Absolutely....Huyu bwana anakuzwa sana hapa JF sijui kuna interest gani behind.
 
Si nasikia wanajiita madaktari bingwa wa burudani nchini pamoja na wale wenzake wawili.
 
Kibonde nae ni bonde tu! Jina linamdhuru, awaulize wazazi wake kwanini kwenye majina yake kuna Kibonde.
 
Tumemsema sana huyu bwana, lakn haonyesh dalil ya kubadilika. Nadhan tuwaachie Clouds wenyewe, huenda maneno yake huwa yanasaidia clouds kuingiza mapato kwenye comments sms wanazotuma wasikilizaji...!!
 
Timu inayofungwa fungwa hovyo inaitwa kibonde. Majina yanaharibu. Jaribu kumuita mwanao kamanda uone. BTW, bado mnasikiliza show ya Kibonde? Mna moyo sana.
 
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court.
Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia waandishi wa habari kufuatilia kesi inayomhusu rais wa zamani.
Je isingekuwa busara kuhamisha mahakama ikafanyiwe nyumbani kwa raisi Mwinyi badala ya kuipeleka mahakamani na kuzuia watu kuisikilia?
Wewe ni Tumaini Makene? Uko low kiasi hiki mkuu
 
Last edited by a moderator:
Rais mstaafu Mwinyi anaishi kwa fedha ya walipa kodi wa Tanzania, hivyo wananchi wana haki ya kujua mambo yanayomsibu. Walinzi alionao wanagharimiwa na fedha za umma, na kazi yao ni kulinda usalama wake na wala siyo kubughudhi wananchi ambao kwa namna yeyote ile hawatishii hata kidogo usalama huo.
 
Je kuna sheria inayozuia wasikilizaji wa kesi mahakamani hata kama kesi ile inazungumziwa katika chamber court.
Kuhusiana na yaliyotokea leo katika mahakama ya kisutu, je ni halali kuzuia waandishi wa habari kufuatilia kesi inayomhusu rais wa zamani.
Je isingekuwa busara kuhamisha mahakama ikafanyiwe nyumbani kwa raisi Mwinyi badala ya kuipeleka mahakamani na kuzuia watu kuisikilia?

Kitu walichokifanya hawakijui........... Hakuna sheria inayokataza hilo
 
Atatetea Kila kitu VIGOGO Wanavyofanya ???

282249_365088136891952_51197620_n.jpg
 
Back
Top Bottom