Mrx
Member
- Feb 6, 2011
- 22
- 7
Baada ya wanafunzi wa UDSM kuandamana na kutaka waengezewe posho, kibonde atoa mbofumbofu katika kipindi cha jahazi kwenye CLOUDS FM. kwa kuwaambia wanafunzi kuwa wanadai pesa wakati wanavitu vya thamani na pia kuwa wanataka kuendea mabaa, madisko na maklabu ambako yeye anapishana nao huko.