Kibonde apata ajali Moroco

nimeamini huwezi kumuongelea mtu kama humpendi imedhihirisha kiasi gan tunampenda kibonde bali tunatofauitana misimamo watanzania bado hatujafika sehemu tumchukie mwenzetu na kumuombea afe kisa ana support CCM utu kwanza mengine baadae... get well soon brother
 
Pole Kibonde...hilo la kunywa pombe ni kama wamekusingizia! Si unakunwa wanzuki wewe
 
mmmhh wamependeza
kkqa.JPG
 
ukitaka mke WA uBAVU WAKO UITAJI KWENDA BAGAMOYO ,WALA TANGA JAMANI
LUK WANAVYOPENDEZA EMBU TUFURAHI TUSAHAU YA AJLI HAYO NI MAPEPO
WANAMEREMETA WANAMEREMETA.......ANAMEREMETA YA KWAKO LINI NA WEWE JAMANI??NIMEPENDA WALIVYOPENDEZA NA MOLA AWAANGAZIE NURU YA UTUKUFU WAKE
DSC_0254.JPG
 
ahaaa ndugu nafikiri ukisema umuhurimii kwa sababu ya kauli zake na pengine watu wanavolalamika kwa kaluli zisizo nzuri unakosea, hapa amepata ajali kama mwanadamu lazima uwe na huruma , lakini kama ajali imetokana na ulevi... hapo kweli hakuna huruma kwani ni uzembe wa kunywa pombe na kundesha... ulive nooooooooooooooooooooma..

tena alipoapata ajali mwanamke mmoja akatoka resi kwenye mlango je mkewe anamjua huyo mke mwenza??
 
R.I.P in advance
Kifo chake lini?
KWANI MIMI niliandika ili uniunge mkono, siandiki ili uniunge mkono, Mwambie Kibonde namuombea mambaya kwakweli
Being honest hata kama ni kwa roho mbaya ni nzuri kuliko kuwa mnafiki wa pole ya kuona noma
umeishaambiwa alikua amelewa, kisha mimi sio malaika kusema nisiwe na hisia za kumwombea mabaya, mimi sio yule ageuzaye shavu , damn .
mimi kila awashawishie WaTZ Kuwa watawala ni watu wema, ni mtu hatari sana, hata akifa maiti yake izikwe hata kwenye shimo la choo. simuhurumiii, sikulazimishi uwe na hisia zangu.
Siyo chini ya bahari kama Osama?
It is hard to pity this guy...
I can see the way you are strugling to pity him, So are many.

r.i.p kibonde
Gari lake ambalo ni written off au yeye? Kafa?
jamaa namchukia ilembaya.ila nampa pole shingoupande.
Ndo unafiki ambao wapenda maendeleo ya TZ hatupendi. Be honest. You could honestly responded "Pole" au "Bora Unge RIP"
ajafa??
naona pesa za mafisadi zinamwangamiza ,
Itakuwa sherehe akifa eh? Suppose ndo wangekuwa kwenye boti moja RA, EL, AC, JK na ikazama?

Bora uwe hivyo hivyo,ukisikiliza hii radio halafu ukimsikia huyu jamaa utaharibu siku!!
Kazi ipo
mimi nilimshangaa sana sana alivyofanya kipindi redioni kumsafisha David Mataka pale ATC alipodai anastaafu na kuwa bilaq hata aibu mwanaume mzima eti anajivunia kuondoka ATC na kuwa ameacha ATC ikiwa na nembo mpya,
Ataishije mjini?
afe tu kwani ana faida gani mjini hapa zaidi ya kutuulia tu dada zetu
Hivi kumbe ana viwavi?

Nina uhakika baadhi ya watu wangeomba u dead kwenye hiyo ajali.
Comment imekaa kinafiki vile... What's your position

tena alipoapata ajali mwanamke mmoja akatoka resi kwenye mlango je mkewe anamjua huyo mke mwenza??
Intellijensia
 
e+kibonde.JPG

Kibonde sikuhurumii mdogo wangu, umekua ukilalalamikiwa sana na WaTz wenzio, hasa wazalendo, umekua kipofu asie na macho wala fikra, umekua duni kifikra na kimtazamo, umekua malaika wa shetani kati ya watakatifu watafutao ugali wao wa siku, umeitumia radio kama fagio la kupumbaza bongo zao. leo wajibika kwa laana zako, sikuhurumii , SIKUTAKII AMANI HATA CHEMBE.

he mwogopeni MUNGU jamani, du kwani akifa wewe wapata nini.
 
Back
Top Bottom