kibonde anaongea kitu asichokifahamu

Kibonde mwenyewe amekaakaa kama M-cameroniwa nina mashaka naye! Yaani ukimsikiliza anavoongea kwenye kipindi cha maisha ni nyumba hiyo sauti hadi hasira!! Kwenye kusukuma draft tulikuwa tunaitana we Kibonde tu huna lolote wewe!
 
Back
Top Bottom