Kibonde amtetea Ngeleja

attachment.php
 
Huyo kibonde ni kada wa magamba kitambo na kazi yake ni kufanya propaganda za magamba katika hiyo redio yao yenye muelekeo wa redio uhuru fm, ushauri unaompatia ni bure tu dawa ni kumuacha aendelee na upofu wake then 2015 tukiwashikisha ukuta ndo atatujua!
 
Kibonde amenifanya niichukie cloud fm, ni mbumbumbu ktk siasain fact ni Dhaifu
 
Acheni unyanyapaa hata kama anatumia ARV si yeye cha msingi jadilini ni jinsi gani mta mvua gamba mvalishe gwanda msonge mbele. Msije mkaingia kwenye kauli dhaifu wanaopata ukimwi ni viherehere vyao
 
Nafikiri tusizumngumzie afya ya mtu maana hatuijui, lakini ni dhairi huyu jamaa ana matatizo ya utumwa wa fikra akiamini kuwa kwa kuwa yuko clouds na watu wanamsikiliza basi ana nguvu ya ushawishi kutuaminisha hata upuuzi ambao sisi tunaujua kuwa nia upuuzi. Labda ushauri tu kwa Kibonde ni kuwa ajitathimini, na wana JF kuna jamaa mwingine pale nae anaboa mno nae ni Jeladi Hando nae ni kibaraka na ukimsikiliza sana ni kama kibonde nae naamini hii redio itapoteza umaarufu wake wakifikiri wamesimama waangalie wasianguke.
 
kuna ubaya gani kutumia ARVs....!!!!??? mbona ARVs ni kama aspirin vile huyu anayeingiza hoja za afya ya kibonde hapa ni DHAIFU kifikira. usijadili watu jadili ISSUES.....!

sasa kama anatumia wewe inakuhusu nini, hapo kwenye familia yako wangapi wanatumia hizo ARVs, anza kujadili wa hapo nyumbani kwenu kwanza, hivi hujui kama kibonde anatumia ARV kesho na keshokutwa ukisikia aliwahi kutembea na dada yako utakuja kutueleza kuwa ""dada yangu anatumia ARVs.....!!!???"""
 
Mbona umekuwa mchungu mtu wangu, vipi? na mapovu bwi bwi bwi bwi mdomoni utafikiri umeshikwa kunako
 
Naomba tuache kujadili Afya ya mtu,mbona tunakuwa sio Great Thinkers?

Hii redio tangu alipoondoka Masoud Kipanya,Fina Mango na hapa karibuni Gardner wana kazi ya ziada kuiludisha kwenye chati.Kwa nini jamaa asitangaze kama Kayanda ambae haonyeshi yuko wapi kwenye ukweli anasema ukweli kwenye ubaya pia anasema?
 
Back
Top Bottom