Kibonde aiweka REHANI AJIARA YAKE

mdau hili la kukohoa sijui kama linaruhusiwa kwenye redio,maana wengi wafanyavyo hivi huishia kuomba samahani,jamaa yeye anachapa mwendo tu
hahahahaaa

Mi mwenyewe huwa nashangaa,, wao huwa wanachukulia kama jingle flani ivi.
 
Kama kweli ni hivyo kwa nini kipindi hiki kinapendwa sana??? mimi ni mpandaji mzuri wa daladala na katika kipindi hiki mara nyingi utaona daladala wametega radio kwenye kipindi hiki na kuna wakati wengine hubadilisha kwa muziki hapo aidha utasikia miguno au watamuomba arejeshe. Kwa nini????????

kwani hujui watanzania tulio wengi tunapenda sana porojo na stori za kufurahisha masikio yetu hata kama ziko mbali sana na ukweli.
 
kwani hujui watanzania tulio wengi tunapenda sana porojo na stori za kufurahisha masikio yetu hata kama ziko mbali sana na ukweli.
Kwa hilo ninakubaliana nawe kabisa na hata humu jamvini utakuta ndugu zetu wanachangia zaidi kwenye mambo yafananayo na porojo kuliko mambo magumu ambayo haswa ndiyo tungekuwa tunachangia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom