Kibonde aiponda tuzo ya Mo Ibrahimu

Jf siku hizi imejaa washamba wengi sana! Yaani kipimo cha kufanikiwa ni kumiliki gari lenye thamani kubwa??? Malimbukeni utawajua tu
Mwee Kibonde amefanikiwa nini jamani? Au kale ka Camry kake anchokimiliki. Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Siamini uwezo wa kibonde kama anaweza kuleta hoja hasa juu ya hili.Je kibonde anao uwezo kuriko marais wote wa Africa wanoimezea mate tuzo hiyo.? Je NGO anazosema kibonde zaaina gani,?,Je ANAKUMBUKA CHENJI YA RADA ,UK ILITAKA KUPITISHIA KWENYE NGO'S LAKINI SERIKALI HILIPINGA TENA KWA NGUVU ZOTE.?
 
Huyu jamaa ni mtu wa jabu sana....jana kaonglelea waziri mkuu wa Ukraine kufungwa kwa ushabiki mkubwa bila kujua ile ni issue ya kisiasa...akadai jamaa katia hasara ya mabilioni ya Euros wakati ni Euro 200,000 tu...halafu akasema kuwa ni mwanaume wakati huyo waziri mkUu ni mwanamke huyu hapa...

Ukraine1_7051548.jpg
 
Natamani sikumoja jk amteuwe nape kuwa katibu mwenezi wao maana hawa watu utafikili ni mapacha na wanaongoza kwa kufikili kwa masabuli yao.nawakilisha
 
Natamani sikumoja jk amteuwe nape kuwa katibu mwenezi wao maana hawa watu utafikili ni mapacha na wanaongoza kwa kufikili kwa masabuli yao.nawakilisha

Mkuu umejichanganya sana hapa, inawezekana wewe mwenyewe unatamani nafasi hiyo. Nape ni mpambanaji, Kibonde ni mpayukaji: wapi na wapi!
 
Hivi ujinga huu utavumiliwa mpaka lini? Watu wanaleta kejeli kwenye mambo serious!
 
Jamani leteni mada za maana kumuongelea kenge huyu anayewaza na kufikiri kwa ****** haina maana kabisa,wenzio makalio tunakalia yy anayageuza ubungo wa kufikiria,huyo ni kilaza sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom