Kibonde afungua baa na stationery

nguli wa taaluma ya habari? nani nguli? kibonde? aaah acha masihara

sauti kweli anayo lakini pia ni nadhifu ila hii haiondoki kwamba Kibonde ni mtu wa kukurupuka, Kibonde ni mtu anayependa kuzungumza jambo halijui na kuna wakati yupo bias sana
 
Nimefuatilia mienendo ya baadhi ya wanaJF humu ndani wakimsengenya huyu nguli wa taaluma ya habari bila sababu za kisomi.kwa kuwa tu anatofutiana nao katika misimamo ya kisiasa.

Kwa mfano leo hii muda huu anafanya kwa usadi mkubwa kazi ya MC katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Dar kwenye mkutano wa wadau wa PSPF.
Huyu bwana ni mfano wa kuigwa kwani ni nadhifu,sauti yake nyororo na yko makini kwa kazi yake.

Hili naamini limemfurahisha hata Mzee Mwinyi ambaye ni mgeni rasmi

Mmmmnnnnhhhh
Indeed money can buy love
 
Sauti yake ni nyororo Mhhhhhhhhhhhh

aache uropokaji,nakumbuka enzi nasoma UDSM alivyosemga mbovu mbofu

nimekumbuka zile moments acha kabisa kesho yake kwenye jahazi akawa mpole
Aliongea vile kumbe anaishi jirani na mabibo hostel! akili nyingine bana!
 
Back
Top Bottom