kuna habari kuwa ndugu wa karibu wa mtangazaji maarufu bw efraim kibonde amefariki dunia katika hospitali ya mwananyamala.
pole sana KIBONDE na mungu akupe nguvu
Hizi nyuzi za Kibonde huwa anaanzisha mwenyewe nini !?pole sana Ndugu Ephraim Kibonde
sio siri hizi thread zingine mnazoanzisha kuhusu EK hazina mana kabisa.au mnamkampenia apewe japo ukuu wa wilaya!!.kuna habari kuwa ndugu wa karibu wa mtangazaji maarufu bw efraim kibonde amefariki dunia katika hospitali ya mwananyamala.
pole sana KIBONDE na mungu akupe nguvu
the superster kibonde.ndugu yangu wherever u a,mind u that jamii forum we ni staa baada ya JK.
Naungana Efraim Kibonde kwa msiba alioupata, nimemsikia mwenyewe radion Clouds saa kumi na moja jioni leo....walianzia Kibaha akafia kwa Dr.Mvungi na mwananyamala ni kumhifadhi marehemu. Jamani uhai ni tunu yetu sote basi asiwepo wa kumdhulumu mwenziwake jamani..... Angalia walimchomfanyia Dkt.\masau wamefungia kila kitu jengoni pale Leaders.....taarifa za wagonnjwa wote mali zote kwa maana ya mitambo ya kitabibu kisa mgogoro wao na NSSF nini hatima ya wananchi kwa hiyo unaweza ona hata madaktari wanayo hoja kama ilivo serikali ila hakuna kati yao mwenye haki kudhulumu uhai wetu hilo lieleweke
Jamani hii habari ya dokta masau ni mpya kwangu yaani ule mgogoro ulifikia huku? Kama kuna uzi wake nipeni link niupitie jama