Kiboga na mama mwenye nyumba...

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
[h=6]Da Kiboga ambaye ni house girl aliomba aongezwe mshahara.

mama mwenye nyumba akasikitika sana kwa kitendo hicho mana hakuamini kwa jinsi alivyomlea Kiboga na kumpenda kama mtoto wake itatokea siku atasema hivyo. hivyo ikabidi amuulize.

Mama: sasa Kiboga, ni kwanini unasema hivyo wataka uongezewe mshahara, kwa sababu zipi za msingi??

Kiboga: mama, kwa kweli nina sababu tatu 3 za msingi kwanini ninahitaji uniongeze mshahara.

"kwanza, mimi naweza kunyoosha nguo zaidi yako?"

Madam: "eeeh! na ni nani kakwambia hivo??"

Kiboga: Baba kasema hivyo

apo mama akawa mdogo akaitikia tu

Kiboga: "Pili, naweza kupika zaidi yako"

Mama: "sasa Kiboga naona unaleta upuuzi, nani kakudanganya unaweza kupika zaidi yangu nami ndio nimekufundisha??"

Kiboga: "baba huyo kasema"

dah apo mama akazidi kuwa mdogo, akauliza

"ya tatu je?"

Kiboga: " mi ni zaidi yako kwenye mapenzi pia"

apo mama akili ikamruka uwiiiii...kwa unyoonge kabisa..!!

Mama: "na hiyo ni baba amesema??"

Kiboga: "hapana mama sio baba, dereva ndio kaniambia hivyo"

DA KIBOGA ALIPEWA ONGEZO LA MSHAHARA KUBWA KULIKO ALIVYOOMBA!!!!!.[/h]
 
hahahaha!!!!!maaana asingeongezwa mshahara da Kiboga angefikisha salamu kwa Baba na hapo mama angeijutia nafsi na ufuska wake!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom