Kibelaa

Wageni nawapenda sana ila dogo hakunielewa....ila namkaribisha sana huku kwa wajanja......
Ila ajiandae kula ile kitu inayolinda nyumba maana huku ndo kwenyewe
Bora kama wapenda wageni yakhe... Muulize Bagah tumsubiri stand kesho?
 
erick haeleweki mara aniambie nikifika sijui wap nimwambie...kiufupi nyie watu mnaishi mkoa gani??
mbuzi wameisha mama...siku hizi mwendo wa mbwa mchemsho na mishkaki yake...utafraiii!..kesho narudi TANZANI-DAR
Dogo Kibela unataka tukukaribishaje?
Tulikuambia SweetLady yuko Shinyanga kwa wakati ule umtafute ukaotezea sasa kaja Ar km unataka njoo utupe hi
 
Aje tu...sijui hata anawahi nini Dar..
kwanza nasikia ule ugonjwa wa macho umerudi tena lol
Lazma wahamie Ar
Hahahaha! Afu huo ugonjwa mara zote unaanzia dar lol. Bagah kuja ar upumzike ugonjwa upite kwanza,..
 
Dogo Kibela unataka tukukaribishaje?
Tulikuambia SweetLady yuko Shinyanga kwa wakati ule umtafute ukaotezea sasa kaja Ar km unataka njoo utupe hi
Mwambie tumeshaandika mabango kwaajili yake sasa ole wake asije, atatulipa maker pen zetu tulizotumia lol.
 
Mwambie aache maajabu....
Kwanza nitamshangaa sana km hatapita huku maana atakuwa hajafaidi safari yake....

for your i....moshi na arusha nimekanyaga kwa siku ya jana na leo...kesho narudi TZ!..
 
Yuko Moshi ati, jamaa kwa safari anamkaribia rais wa nchi, sijui na yeye anaenda kutuombea net..

net zimetosha...this time nawataftia N.G.U.O za ndani(walizovaa wazungu zina na majina..teheee) nije niwagawie...msaada kila kona...LOL
 
net zimetosha...this time nawataftia N.G.U.O za ndani(walizovaa wazungu zina na majina..teheee) nije niwagawie...msaada kila kona...LOL
Hahahahahaha! Hapo sasa tutakuuliza watutakani?...usione umetuletea net zenye sumu tukanyamaza ukadhani tumefurahi sana...
 
Hahahahahaha! Hapo sasa tutakuuliza watutakani?...usione umetuletea net zenye sumu tukanyamaza ukadhani tumefurahi sana...

kumbe zilikua na sumu??loh mnisamehe nilikochukulia hawajui malaria na hawatumii kwa ajil ya wanadam...poleni...but this one mtaipenda!...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom