Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Hivi hawa watujui kumbe??
mie ndio nimejua leo ati................. KIbelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hivi hawa watujui kumbe??
kwa tetesi nilizozisikia ni kuwa Mtengenezaji wa hili tangazo ni kibonde. je kuna ukweli? hebu tujuze kibelaaa!mie ndio nimejua leo ati................. KIbelaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Yuko huku Tanga?kibelaaaaaaa....hajawahi kukuletea samaki home huyu??
Mmmhh? naona kuna lugha nisio ielewa hapa.huko ndio kwake...anapenda PWANI huyo!
kwa tetesi nilizozisikia ni kuwa Mtengenezaji wa hili tangazo ni kibonde. je kuna ukweli? hebu tujuze kibelaaa!
Hawatujui hawa, we subiri siku tukiwakaribisha mgombani ndio watatujua!..Hivi hawa watujui kumbe??
Naandamana walah tena, haiwezekani utusingizie tunakula mbwa, ndio kusema mbuzi zimeisha mgombani au?kumbe majibu unayo...alaaa!
Naandamana walah tena, haiwezekani utusingizie tunakula mbwa, ndio kusema mbuzi zimeisha mgombani au?
Ukitoka huko waelekea wapi? Uliahidi kuja kutusalimu na Erick au umeghairi? Ahadi ni deni ati!
Hahahaha! Hiyo ya kula mbwa ni kali... Sie tuko huku kwa Lema bana, sikujua kumbe E hapendi wageni eeh?erick haeleweki mara aniambie nikifika sijui wap nimwambie...kiufupi nyie watu mnaishi mkoa gani??
mbuzi wameisha mama...siku hizi mwendo wa mbwa mchemsho na mishkaki yake...utafraiii!..kesho narudi TANZANI-DAR
Nataka nifanye mpango nipunguze setting moja ya kuruhusu kuedit jina ili nikuweke Kibela maana linakufaa sana kuliko Bagah na najua unalienda.....braza ebu ntake razi plzz!!!
Wageni nawapenda sana ila dogo hakunielewa....ila namkaribisha sana huku kwa wajanja......Hahahaha! Hiyo ya kula mbwa ni kali... Sie tuko huku kwa Lema bana, sikujua kumbe E hapendi wageni eeh?
Mwambie aache maajabu....Naandamana walah tena, haiwezekani utusingizie tunakula mbwa, ndio kusema mbuzi zimeisha mgombani au?
Ukitoka huko waelekea wapi? Uliahidi kuja kutusalimu na Erick au umeghairi? Ahadi ni deni ati!