HUBERT MLIGO
Member
- Oct 23, 2009
- 46
- 0
Juma ana dada,dada wa Juma anaitwa Roza..............
Roza anpaka na mimi nina gari, Roza anampenda paka wake...kila tukitoka shule Roza hucheza na paka wake na mimi huzea gari langu...
Juma ana dada,dada wa Juma anaitwa Roza..............
mpiga filimbi wa amelini, hadithi za esopo, adili na nduguze
Ukija DARASA LA NNEndio unakutana na Kibanga Ampiga Mkoloni, Ndoto ya Kimweri (Chifu wa Wasambaa), Mkwawa Shujaa, Barua kwa Mjomba Mndolwa na Siku ya Gulio Katerero (Hadithi ya Kiiza).
Shairi la kitabu hiki linaanza hivi:
KAMA MNATAKA MALI
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
Wakataka na kauli iwafae maishani
Akatamka mgonjwa, ninaumwa kweli kweli
Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali
Roho naona yachinjwa, Kifo kimenikabili
Kama mnataka mali, mtayapata shambani DARASA LA TANO napo kulikuwa na mahanjamu yake. Nakumbuka hadithi kama ile ya 'Safari Yenye Mkosi', Vijana Wapiga Kambi Ngulwi, Ukakamavu, Kapulya Mdadisi, na kadhalika.
SHAIRI LA KITABI HIKI LINAANZA HIVI
Tumeizika elimu, elimu ya kizamani
Elimu ile haramu, maana ya kikoloni
Imetuishia hamu, kuiga ya ugenini
Elimu yetu ya sasa yawafaa wananchi
Kitabu cha Kiswahili cha DARASA LA SITA sikikumbuki vizuri, tulikuwa na mwalimu bomu sana ila nitajitahidi kukumbuka, nadhani kulikuwa na mada moja inahusu 'walowezi'.
Kwa upande wa DARASA LA SABA mambo yalikuwa poa sana. Kulikuwa na mada kama Chuo Kikuu, Brown Ashika Tama, Jiji la Dar Es Salaam nk. Kulikuwa na mashairi mawili katika kitabu hiki, moja linaanza hivi:
Ninaye ndege mzuri, mrembo wa Kupendeza
Rangi zake mashuhuri, ni nne nawaeleza
Ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza
Ndege huyu ndege gani, hapa Kwetu Tanzania?

Sizitaki mbichi hizi
ThinkPad,
Najua hii kazi umeikata kule kwenye ile thread nyingine.
Nadhani mods wangeziunganisha.
ThinkPad,
Najua hii kazi umeikata kule kwenye ile thread nyingine.
Nadhani mods wangeziunganisha.
Wapi tena ndugu yangu mbona sijaona thread yenye jina "nyingine"
Nadhani mamod wapo kazini wataziunganisha lkn hiyo nyingine haipo.
una yako!=Jogoo aliesema
=Siku ya Gulio Katerero!
Juma anasema...kunywa chai dada, kunywa upesi! Roza una kiu?
Ha ha ha!
Wapi tena ndugu yangu mbona sijaona thread yenye jina "nyingine"
Nadhani mamod wapo kazini wataziunganisha lkn hiyo nyingine haipo.
kula mno ni hasara,
karudi baba mmoja toka safari ya mbali
kavimba yote mapaja na kuteteme mwili
watoto wake wakaja ili kumtaka hali ...