Kibanda cha simu

funzadume

JF-Expert Member
Jan 28, 2010
13,559
21,040
Jamani juzi nilituma hela kwa mfumo wa simu, sasa katika kutuma kuna fomu nikajaza namba yangu na ninayemtumia. Kuna demu alikuwepo hapo aka-note ile namba, baada ya kutoka akanipigia kulikuwa na makosa flani hivi, sasa toka hapo kila siku anani-text na msg za ajabu ajabu nyingine za kidini nyingine za maisha ila anatuma kila siku.

Hivi hawa mademu wa kwenye vibanda vya simu wako pale kutega mabwana au vipi? mimi sijamjibu hata siku moja ila nadhani kuna kitu anatafuta
 
kula bata mwanawane ngoma imejileta yenyewe ila take care soks muhimu:target:
 
Nitumie namba yake kama hujali kwenye PM please!
 
Jamani juzi nilituma hela kwa mfumo wa simu, sasa katika kutuma kuna fomu nikajaza namba yangu na ninayemtumia. Kuna demu alikuwepo hapo aka-note ile namba, baada ya kutoka akanipigia kulikuwa na makosa flani hivi, sasa toka hapo kila siku anani-text na msg za ajabu ajabu nyingine za kidini nyingine za maisha ila anatuma kila siku.

Hivi hawa mademu wa kwenye vibanda vya simu wako pale kutega mabwana au vipi? mimi sijamjibu hata siku moja ila nadhani kuna kitu anatafuta

Sema tu labda hajakuvutia, angekuvutia ungekuwa ushakula mzigo na wala usingekuja kushtaki hata JF kwamba eti umetongozwa!!!
 
Funzadume analo jike lake na wameshibana! Hamkumbuki juzi alikuja kutwomaba maushauri ya kuoga?!

Funzadume ikimbie zinaa! Wala usiisogelee!

Hujui Mungu anakuepusha na nini mpaka leo hii hujamjibu!
 
Mimi watu kama funza dume huwa nawashangaa sana. Hivi mtu sitaki kuwasilianana naye unshindwaje kumwambia? na akaacha mara moja na akizidi unamwambia nitakufuata hapo, ukiona hivyo funzadume kafa huyo anataka tumpe ushauri na papag mwelewa sana akampa ushauri kuwa ale mzigo na ndicho anachotaka.
 
Du makamanda hamna mchezo ili mradi soksi za kumwaga basi ni kurukia tu , wengine ni madege yasiyoliwa!
 
kula bata mwanawane ngoma imejileta yenyewe ila take care soks muhimu:target:
dah unajua wale mademu wanashobokea mtu wakikuona umetuma hela nyingi wanakuona kama unazo na pale nilikuta wamasai nao wanatuma hela sasa kama anajirahisi kwa kila mtu si nitaukwaa mpaka UKIMWI wa kimasai
 
Sema tu labda hajakuvutia, angekuvutia ungekuwa ushakula mzigo na wala usingekuja kushtaki hata JF kwamba eti umetongozwa!!!
demu mwenyewe sio mbaya ila tu nimehamua kumpotezea maana nilienda pale kwa bahati mbaya tu kwa kuwa benki muda ule zilikuwa zimefungwa nikaona nitumie huduma ya simu. Ila jamani kila demu akijirahisisha inabidi mtu umrambe?
 
Funzadume analo jike lake na wameshibana! Hamkumbuki juzi alikuja kutwomaba maushauri ya kuoga?!

Funzadume ikimbie zinaa! Wala usiisogelee!

Hujui Mungu anakuepusha na nini mpaka leo hii hujamjibu!
kweli mkuu tena siku hizi naoga na my wife wangu raha tupu halafu mtu wa kibanda cha simu anataka kuingiza ruba kwenye maji
 
Mimi watu kama funza dume huwa nawashangaa sana. Hivi mtu sitaki kuwasilianana naye unshindwaje kumwambia? na akaacha mara moja na akizidi unamwambia nitakufuata hapo, ukiona hivyo funzadume kafa huyo anataka tumpe ushauri na papag mwelewa sana akampa ushauri kuwa ale mzigo na ndicho anachotaka.
sio kwamba nataka kula mzigo ila bado hajatamka wazi nisije kumkwaza may be hana nia mbaya. Namsubiri nione mwisho wake maana kila siku anatuma msg ila anaanzia mbali na za dini mara za maisha sasa ngoja nione mwisho wake atatuma ipi
 
Du makamanda hamna mchezo ili mradi soksi za kumwaga basi ni kurukia tu , wengine ni madege yasiyoliwa!
...Sio mchezo. Unanikumbusha mkasa mmoja kuna watu walikufa shinyanga kwa sababu ya kula madege fulani makubwa sie tulizoea kuyaita ndege Joni...Kweli si kila king'aacho ni dhahabu!
 
yanaitwa ndege mwarabu... yako mengi sana Shinyanga duh umenikumbusha long tyme Shycom lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom