BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,004
- Thread starter
- #21
Mkuu Bulesi,
wala hujakosea na mtazamo wako. Nd'o maana napinga sana hii kitu ya EAC based on these kinds of facts. Kibaki aliiba kura na sasa anadekeza wizi wa mali ya uma by proxy. Uingereza walisitisha kutoa hela kusaidia hii kampeni ya watoto kusoma bure only because hela iliiibiwa. Sasa Waziri mkuu kawaambia hawa mawziri wa-step aside mpaka uchunguzi ufanyike kisha Kibaki anakuja nyuma yake na kusema eti Raila hawezi kufanya hivyo na he was not consulted.That is a bunch of BS!
It is very obvious kwamba Rais Kibaki ndiye fisadi namba one Kenya na skendo zipo kibao zinazoashiria in that direction. Je Tanzania ipo tayari kwa huu muungano ikiwa hii ndio hali halisi?... I dont think so.
Kenya needs to clean up house big time before we move in any direction. Its a sad situation but thats what it is.
Nitarudi na zaidi baadae maana we have not heard the end of this thing yet.
Shukran.
Mkuu Ab-Titchaz, Tanzania iko tayari maana kama unavyojua wahusika wote wa ufisadi wa EPA, Kiwira, Richmond, Meremeta, Rada, Ndege ya Rais, Magari ya Jeshi na Helicopters n.k. hakuna hata mmoja aliyewajibishwa hadi leo hii na sidhani kama kuna atakayewajibishwa. Hivyo anayotenda Kibaki hayatofautiani kabida na anayotenda Kikwete wote wanawakingia kifua mafosadi na kuweka maslahi ya nchi pembeni.