Kibaki amerudi Ikulu

Namkuu Jerry Rawlings, rais mstafu wa Ghana ".....we are yet to liberate ourselves from the blackman who took over from the white man!"

Na pia inanikumbusha kile hadithi mashuhuri ya "The Animal Farm"
 
Mzalendohalisi,

Mambo kama yaliyoandikwa hapa chini, utafanya strategy gani ambayo ingefanya kazi kwa Odinga? Huu ni ujambazi, ingelikuwa mitaani Dar Vibaka wanapigwa viberiti, sasa Kibaki naye Wakenya wamfanye nini?

The Chief Observer of the EU Election Observation Mission (EU EOM), Alexander Graf Lambsdorff, Member of the European Parliament, issued the following statement about the announcement of the winner of the presidential election in the Republic of Kenya:

“Once again, we would like to commend Kenyan citizens for the strong commitment to peace and democracy that they showed on election day.

With a view to the presidential elections, however, we believe that, at this time, the ECK, despite the best efforts of its chairman, has not succeeded in establishing the credibility of the tallying process to the satisfaction of all parties and candidates.

We regret that it has not been possible to address irregularities about which both the EU EOM and the ECK have evidence. The result for the Molo constituency, for example, was announced in the presence of EU EOM Observers at the constituency tally center as 50.145 votes for President Kibaki, while the ECK today declared the result for the President to be 75.261 votes. Because of this and other observed irregularities, some doubt remains as to the accuracy of the result of the presidential election as announced today.


We call on the leaders of Kenya to maintain this spirit of peace and democracy so admirably shown by the people of Kenya on Thursday.
”

Sidhani kama yeye ataona hayo. Mzalendohalisi anatumia style ya ccm zanzibar na ambayo imetumika kenya sasa. Iba kura, kisha tumia jeshi na polisi kunyamazisha upinzani wa wasio na elimu, kwa wale wenye elimu tumia propaganda kuwa Sharif alitaka kuvunja muungano au kuifanya zanzibar nchi ya kiislam ndio maana ameshidwa urais.

Aibu tupu!
 
We regret that it has not been possible to address irregularities about which both the EU EOM and the ECK have evidence. The result for the Molo constituency, for example, was announced in the presence of EU EOM Observers at the constituency tally center as 50.145 votes for President Kibaki, while the ECK today declared the result for the President to be 75.261 votes. Because of this and other observed irregularities, some doubt remains as to the accuracy of the result of the presidential election as announced today.

Pamoja na haya, sasa tungoje hao viongozi wengine wa nchi za kiafrika ambao hata hawakualikwa kwenye kuapishwa wakimpongeza mwenzao na wananchi wa Kenya kwa uamuzi wao wa busara! Tumeyaona Zimbabwe. Tumeyaona Sudan. Na tutaendelea kuyaona sehemu nyingine. African solidarity at its best!
 
Pamoja na haya, sasa tungoje hao viongozi wengine wa nchi za kiafrika ambao hata hawakualikwa kwenye kuapishwa wakimpongeza mwenzao na wananchi wa Kenya kwa uamuzi wao wa busara! Tumeyaona Zimbabwe. Tumeyaona Sudan. Na tutaendelea kuyaona sehemu nyingine. African solidarity at its best!

Kuna mtu amesema hapa kuwa Kikwete alikuwa ameshanunua suti mpya ya kwenda kumpongeza kibaki (labda alikuwa anatania) sasa Kibaki naye anaapishwa usikuusiku kama yatima wakati angesubiri hata kesho mafisadi kibao tu wangemuunga mkono.

Kama ulifuatilia TVT ungesikia alichokuwa anasema yule mtangazaji aliyetumwa nairobi. inaonekana kesho Kikwete atatuma salamu za pongezi na kisha mafisadi kibao watafuata.
 
CONCLUSION BY THE INTERNATIONAL OBSERVERS OF KENYAN ELECTION 2007

"We believe that, at this time, the ECK (Electoral Commission of Kenya), despite the best efforts of its chairman, has not succeeded in establishing the credibility of the tallying process to the satisfaction of all parties and candidates," Alexander Graf Lambsdorff, the chief EU observer, said in a statement.

The European Union's team of election observers said the country's electoral commission had failed to ensure the credibility of the presidential vote.
_______________________________________________________________

"This is a very sad day for Kenya and for democracy," says Njeri Kabeberi, a political analyst and head of the Institute for Multiparty Democracy in Nairobi. "We have created a recipe for something where we don't know what will happen. Kibaki's people will be celebrating, Odinga's people will be plotting, but the people of Kenya will have been watching TV to see what due process looks like and they will be losing faith in the process."

_______________________________________________________________


"I don't think that [Odinga's Orange Democratic Movement Party] will go to court, because the courts don't inspire much confidence," says Abdullah Ahmed Nasir, former chair of the Law Society of Kenya. "I think they will shift their focus to making this country ungovernable. They have 100 seats in parliament, against the president's 35 seats. This government will be a minority government, and they will not have an easy time ruling."

________________________________________________________________
r



r


r

r


r


2_192700_1_248.jpg


kenya_2_260245a.jpg


kenya_4_260247a.jpg


kenya_3_260246a.jpg


________________________________________________________________

http://uk.reuters.com/news/video?videoId=73510&newsChannel=topNews

kazi kweli kweli, haya ndio kibaki anataka
 
image2.jpg


image11.jpg


image6.jpg


image7.jpg


image0.jpg


pic_301207_03.jpg


_____________________________________________________________

MKIMTAZAMA HUYU JAMAA ALIYEIBA KURA AKIAPISHWA ANA RAHA KWELI?

1_236649_1_5.jpg



______________________________________________________________

RAIS WETU RAILA TUTAKAYEMWAPISHA KESHO UWANJA WA UHURU, NAIROBI


1_236654_1_3.jpg


MACHOZI YAKE HAYA ANAYOLIA KWA KUWA AMEIBIWA NI YETU WOTE.

KESHO TUNAKUTANA NAO KWENYE UHURU PARK. 1000,000 MEN WILL MARCH TO UHURU PARK TO INSTAL OUR PRESIDENT RAILA ODINGA. TUTAKUMBANA NA MAGUMU LAKINI MTUOMBEE.



Na hili pia ndio kibaki na mafisadi afrika wanataka
 
Hivi Kenya mbunge akihama chama anapoteza ubunge? Kama sivyo, watu wakutosha kutoka upinzani wakiahidiwa uwaziri, mchezo umekwisha. Itabaki kuanua jamvi.
 
AS I TOLD YOU ALL HELL HAS BROKEN LOSE HERE...IT IS CRIES, TEARS, WAR, FIRE, SMOKE, BULLETS AND PAIN FROM ELDORET RIFT VALLEY TO MOMBASA IN COAST PROVINCE, FROM KAKAMEGA IN WESTERN KENYA TO NAROK IN SOUTHERN KENYA, FROM LODWAR IN NORTH KENYA TO NAIROBI IN CENTRAL KENYA........THIS IS WHAT KIBAKI WANTED.

pic_301207_04.jpg


pic_301207_03.jpg


pic_301207_06.jpg


pic_301207_05.jpg


pic_301207.jpg


image9.jpg



image9.jpg


image5.jpg

haya yote ni kwa hisani ya kenyan-tanzania mwanaJF mwenzetu aliyeko msitari wa mbele huko kenya kutuletea kile ambacho Kibaki na ccm yake ya kenya ya mafisadi wamefanya.
 
Hivi Kenya mbunge akihama chama anapoteza ubunge? Kama sivyo, watu wakutosha kutoka upinzani wakiahidiwa uwaziri, mchezo umekwisha. Itabaki kuanua jamvi.

PNU yenyewe imeundwa na vyama vidogo kama DP, narc kenya, safina ambavyo vimepata wabunge pia kwa hiyo hakuna sababu ya kuhama vyama. Kumbuka kuwa siku chache kabla bunge hili halijavunjwa kibaki alipitisha sheria inayomuwezesha kuunda serikali ya muungano.

Inaelekea kabisa kuwa atampatia Kalonzo musyoka wa ODM-K nafasi ya umakamu na kupata viti zaidi ya kumi na tano vyake. Na pia kumbuka kuwa ana viti kama kumi vya KANU na ukiongezea hivyo vingine vidogo bado ana nafasi nzuri tu ya kutawala (inahitaji 2/3 ya kura kushinda vote of no confidence na inaonekana ODM haitapa hizo kura).
 
Nitashangaa sana kama juhudi za wakenya kumchagua wanayemtaka awaongoze zitaishia hewani tu. They need to do something. Hasa vijana. Inakuwaje wapiga kura waikatae serikali, halafu wamkubali raisi? Mazingaombwe!

Hii nimeitoa kutoka jarida la Economist.

Kenya's unsound election

Dec 30th 2007
From Economist.com
After long delays, and dubious counting, the president is returned to power

AFP

THE electoral commission of Kenya declared a winner in the country's bitterly fought presidential election on Sunday December 30th: the sitting president, Mwai Kibaki, was returned to power. The voting three days earlier had been impressively orderly and peaceful, raising hopes of a brighter future for Kenyan democracy. But the tallying process was a much darker story, with heavy suspicion of vote rigging and subsequent fears that serious violence could strike the country.

No one disputes that the opposition Orange Democratic Movement swept aside government parties in the parliamentary vote. Most of the ministers in the cabinet of Mr Kibaki lost their seats to Oranges, including the vice-president, foreign minister, and defence minister, and a number of previously unassailable and wealthy MPs.

And yet the same disgruntled voters apparently gave 76-year-old Mr Kibaki strong support in the presidential vote. The final tally, according to the electoral commission, handed Mr Kibaki 4.58m voters to 4.35m for the firebrand opposition candidate, Raila Odinga. Mr Odinga's supporters had earlier stated that he had won, suggesting a lead of some 500,000 votes. He claimed that the electoral commission was “being forced to declare wrong results” and called on its leaders to resign rather than plunge the country into chaos. The consequence of failing to recognise a “fair result”, he threatened, could be civil war.

Polls had indicated that the presidential election was going to be close. It was the manner in which Mr Kibaki crept up on Mr Odinga's solid lead that raised suspicions. Why, for instance, were votes from the president's loyal Kikuyu highlands of central Kenya held back to the end of the counting? Why had so many returning officers there gone missing, along with their results? Mr Kibaki, himself a Kikuyu, was expected to have overwhelming support from his kinsmen, but 98% looked excessive.

The head of a European Union team of observers, Alexander Graf Lambsdorff, promptly spoke about deep misgivings concerning the counting process. Diplomats in Nairobi, the capital, pointed the finger at the Kikuyu old guard, men who had feared that they would lose their fortunes if Mr Odinga had made it into State House. Even if Mr Kibaki's cronies are innocent of charges of vote rigging, he will have no national mandate: outside of the Kikuyu lands, Mr Kibaki was soundly beaten across the country, including in Nairobi.

There is a real chance of bloodletting between the Kikuyu, an ethnic group that has dominated politics and business in the decades since independence, and the Luo, led by Mr Odinga, who have been politically and economically marginalised. The fear now is that violence could erupt on a large scale in Luo strongholds in Nairobi and across western Kenya.

There are plenty of younger Kenyans, including those in business, who are desperate to avoid tribal polarisation. The immediate concern is whether Kenya's security forces can hold the line between rioters from opposing sides, most of them unemployed men armed with machetes and clubs, screaming death threats. Sporadic violence killed several people on Saturday. Looters stripped out shops in the western city of Kisumu. Mr Kibaki, who was immediately sworn in as president on Sunday, retakes office in the least auspicious of circumstances.
 
Mzalendohalisi,
Utawekaje kando suala la wizi wa kura kama ndilo crux of the matter? The rest is academic!
 
hapa ndio umekosea tena sheria za marekani mkuu, sheria ya marekani inasema kura za kituo chochote zikiwa na kasoro zinaweza kupingwa na kuhesabiwa bila kufanya state nzima kama hakuna pingamizi na mgombea mwingine.

kasome vizuri fact zako za marekani maana inaonekana unakosea mamabo mengi sana.


Mkuu kwenye hili labda wewe ndio ukaangalie facts zako tena, maana Supreme Court ya US ilipoamua kumpa urais Bush mdogo, iliamua kutokana na hiki kipengele cha sheria kuwa ili kura zirudiwe kuhesabiwa either ni lazima iwe State nzima au Nchi nzima, hakuna kipengele cha sehria za Us kinachosema kuwa inaruhiswa kuhesabu kura za kitongoji au jimbo moja tu, ndio hasa iliyokuwa a case ya Gore na kutupwa na Supreme Court, ingawa ile Activist Court ya Florida, ilijaribu kupindisha sheria na kuruhusu kurudia kuhesabu kura za kitongoji kama unavyosema, ilibidi wapigwe rungu na Court ya mwisho kwenye hiyo Land,

hapa pia unazidi kukosea. Population ya kikuyus ni less than 50% kwa hiyo ODM alitegemea tribes zingine zote zingeungana na kushinda.

Kwa hiyo ni kwa sababu makabila mengine hayakuungana walio wengi wa kabila moja wakashinda wakaishia kuwa wengi na kushinda, sasa mkuu tatizo lako ni nini? Kwa nini siku zote unapenda kuamini kuwa wote lazima tukubali hoja zako kwa nguvu pamoja na kubadili majina mkuu hoja zako na style ni ile ile tu, kwenye hili mimi mkuu sina mtizamo wako wa kulalia kwenye mchezo mchafu tuu hata facts zingine huwezi kuziona ambazo ni muhimu pia kwa manuafaa ya uchaguzi wa huko mbele ya safari, wewe mwenyewe unakubali kuwa makabiala mengine kutoungan na ODM kumechangia kukosa urais kwao, pamoja na kwamba tunakubali na kufahamu kuwa mchezo mchafu umefanyika tayari, lakini pia kuna accademics facts ambazo hatuwezi kuzikataa kwa sababu tu ya mchezo mchafu,

Uchaguzi umefanyika, tena Afrika ambako haijawahi kutokea uchaguzi wa haki, sasa cha ajabu sielewi ni kipi mkuu kinachokufanya kujaribu kutukataza wengine wote tuupone huu uchaguzi unavyouona wewe tu, vipi mkuu? Maana hata hizi picha hazielezi anything, zaidi tu ya machafuko ambayo Kenya ni ya kawaida kisiasa hata Odinga angeshinda kungekuwepo na hizo picha tu.

Mkuu binafsi ninayoana mazingaombwe tu, kuanzia Kibaki kuwa mpinzani akishirikiana na Odinga mpaka kuwa waziri wake, na baadaye Odinga kujitoa naye karibu na uchaguzi, KANU kujiunga naye pia Kibaki, kwa kweli kwangu haya yote ni mazingaombwe makubwa sana, ndio mana hata matokeo hayanishangazi, maaana ukifuatilia hizi complications the whole thing inakuwa a big joke!
 
Mtanzania: mimi nashukuru sana kwa shule yako na kwa kweli sina tena cha kuchangia mpaka hapo. Hata hivyo nina wasiwasi sana na mategemeo yako kwa vijana. Kama vijana wenyewe ndio hawa akina Mzelendohalisi (labda awe mzee) au akina Nchimbi-tutaweza kweli? Inatisha sana, hasa tunapoona kuna watu humu ndani wanajaribu kuhalalisha wizi wa kura kwa sababu za kizembe, kizee na kijinga kabisa!

Najua CCM wanachekelea sana hili, wanajiridhisha kwamba kumbe wapo wengi wanaoiba kura sio wao tu, na hii defence mechanism wanayotumia Africa-kwamba kama kila mtu anafanya basi sio haramu. Hata hivyo tusikate tamaa, wenzetu wachache waliopo katika vyombo muhimu kama bunge ni kujaribu kuweka mifumo iliyothabiti ili ifike mahala tuongozwe na system badala kutegemea busara za walafi wa madaraka.
 
Kura za maoni pia zilisema John Kerry na Al Gore wameshinda urais wa marekani!



Hapa ndio unaonyesha kabisa kuwa hujui siasa za kenya au hukufuatilia kilichotokea. Kama Kalonzo angekuwa VP na basi akampa Raila kura za ukambani, vipi kuhusu kula za waruhya wa western waliompiga chini hadi VP wa kenya wa sasa ili Raila awe rais?

Rudi tena katafute spin mpya.



VP aliyechaguliwa na Raila ni wa kabila gani? na je raia amefaidiika vipi huko?

Mwafrika wa Kike,
Your style of arguments- inakuwa kama ni kutafuta mshindi- sasa hapa hatutafuti mshindi- we are discussing the sitution in Kenya! Ndo maana huwa mara nyingi hata hoja/thread huna utaalaam huwa inaharibika- na wewe hubaki wewe tu basi!

FMES amekuambia tena hapo juu..may be you are yet to realize! sasa unataka umshinde nani na ili nini?

You may wish to reflect the way you make your arguments!
 
hasa tunapoona kuna watu humu ndani wanajaribu kuhalalisha wizi wa kura kwa sababu za kizembe, kizee na kijinga kabisa!

Mkuu Kitila, hakuna anayeshangilia wizi wa kura, isipokuwa majuzi tu huyu Kibaki, alikua akishangiliwa kama shujaa wa mageuzi, sasa leo kabadilika tena, sisi hatuwezi kwenda kaa bendera tuuu, binafsi nina wasi wasi na system nzima ya Kenya na hizi chaguzi kuwa hazina ukweli, ninahitaji facts zaidi kuwaelewa hawa maaana wananichanganya!

Najua CCM wanachekelea sana hili, wanajiridhisha kwamba kumbe wapo wengi wanaoiba kura sio wao tu, na hii defence mechanism wanayotumia Africa-kwamba kama kila mtu anafanya basi sio haramu.

This is a little bit too much mkuu, wewe unajua kuwa CCM has nothing to do na huu uchaguzi, na wala hapa JF hakuna anyefikiri kwa kutumia mawazo ya ki-CCM, wala ki-Chadema, isipokuwa wananchi hapa wanajribu kutafakari kwa mitizamo tofauti haswa kilichotokea huko Kenya, experience yao hao wa-Kenya ndio inatufanya wengine tuwe wagumu kurukia kutoa hukumu bila more facts, na tulishasema siku nyingi hapa kuwa uzalendo wa wananchi haupimwi na kumshangilia Odinga, over bingwa wa zamani wa mageuzi Kibaki, pole pole tunahitaji more fatcs za huu uchaguzi.

Hata hivyo tusikate tamaa, wenzetu wachache waliopo katika vyombo muhimu kama bunge ni kujaribu kuweka mifumo iliyothabiti ili ifike mahala tuongozwe na system badala kutegemea busara za walafi wa madaraka.

Sawa sawa, hii fair kabisaaa mkuu!
 
Mtanzania: mimi nashukuru sana kwa shule yako na kwa kweli sina tena cha kuchangia mpaka hapo. Hata hivyo nina wasiwasi sana na mategemeo yako kwa vijana. Kama vijana wenyewe ndio hawa akina Mzelendohalisi (labda awe mzee) au akina Nchimbi-tutaweza kweli? Inatisha sana, hasa tunapoona kuna watu humu ndani wanajaribu kuhalalisha wizi wa kura kwa sababu za kizembe, kizee na kijinga kabisa!

Najua CCM wanachekelea sana hili, wanajiridhisha kwamba kumbe wapo wengi wanaoiba kura sio wao tu, na hii defence mechanism wanayotumia Africa-kwamba kama kila mtu anafanya basi sio haramu. Hata hivyo tusikate tamaa, wenzetu wachache waliopo katika vyombo muhimu kama bunge ni kujaribu kuweka mifumo iliyothabiti ili ifike mahala tuongozwe na system badala kutegemea busara za walafi wa madaraka.

Mzee,

Heshma mbele Mkuu!

Haha haha ha !

Interesting!
 
Mwafrika wa Kike,
Your style of arguments- inakuwa kama ni kutafuta mshindi- sasa hapa hatutafuti mshindi- we are discussing the sitution in Kenya! Ndo maana huwa mara nyingi hata hoja/thread huna utaalaam huwa inaharibika- na wewe hubaki wewe tu basi!

FMES amekuambia tena hapo juu..may be you are yet to realize! sasa unataka umshinde nani na ili nini?

You may wish to reflect the way your make your arguments!

ukisikia kushindwa hoja na kuleta vioja ndio huku.

Yaani kuhusiana mimi na mwafrika wa kike kumetoka wapi na kwa sababu ipi? Inabidi ulete uthibitisho huu hapa lasivyo ufute statement yako.

Kinachoengelewa hapa ni siasa za kenya na wewe unataka kuzitoa na kuanzisha ugomvi uwe kuwa ni nani anatumia jina lipi. Kwa hili nitakuuliza mara moja uthibitishe kuwa mimi ni yule mtoto mwafrika wa kike au uache mara moja maana kama unataka kubadili direction ya hii thread jua kuwa mimi sizungumzii sana mambo yasiyo hoja ya msingi
 
Jambo jingine tunaloweza kujifunza kwingine ni kuwa tuwe na tarehe maalum ya rais kuapishwa. Huu mtindo wa kuapishana kwa haraka haraka ni kuchezea demokrasia. Pindi Rais akichaguliwa apewe mwezi mmoja kabla ya kuapishwa. Tanzania nadhani inatakiwa iwe ndani ya siku saba hivi. Tusipoangaliwa tutakuja apishiwa Rais uchochoroni. wakati pekee ambapo Rais mpya anatakiwa aapishwe mara moja ni pale inapotokea Rais aliye madarakani anapofariki au kupoteza sifa zake za kuwa rais.
 
Mwafrika wa Kike,
Your style of arguments- inakuwa kama ni kutafuta mshindi- sasa hapa hatutafuti mshindi- we are discussing the sitution in Kenya! Ndo maana huwa mara nyingi hata hoja/thread huna utaalaam huwa inaharibika- na wewe hubaki wewe tu basi!

FMES amekuambia tena hapo juu..may be you are yet to realize! sasa unataka umshinde nani na ili nini?

You may wish to reflect the way your make your arguments!

MzalendoHalisi:

Mwafrika na Mwafrika wa Kike ni watu wawili tofauti kabisa. Kama ulivyo wewe na Mzalendo.
 
Back
Top Bottom