Elections 2010 Kibaha Mjini: CHADEMA wachukua jimbo!

aseme nini ndugu yangu zaidi ya pumba??
Mpango wao wa udini kwisha
nguvu ya wananchi ni nguvu kuuuuuuuuuuuuuuuuu
sauti ya wanyoge ni kuuu
make hatuamini ushindi unatokana na kwenda kwa wanajimu.
nchi haiwezi ongozwa na majini
huyo boss wa makamba naye ataanguka chari mbaya.
labda wachakachue
xxx
 
habari nilizopata toka reliable source ni kwamba CCM wameshachakachua, wanaongoza.Ila CHADEMA wamechukua udiwani Kibaha. Matokeo zaidi bado...
 
ni kweli mtoto anaongoza kibaha mjini,koka wa ccm chupi inabana,mtoto anaongoza maeneo ya mwanalugali,picha ya ndege, tumbi, matokeo ambayo hayajatangazwa ni kata ya boko kituo cha tumbi kibaha secondary shule aliyosoma Kikwete amepata kura 40,MR Weapon(slaa)98 kumbe hata walimu wake hawamkubali
Hii kali, watakuwa wanamuelewa uwezo wake vizuri zaidi; na hiyo inaweza kuwa ndo sababu halisi.
 
aseme nini ndugu yangu zaidi ya pumba??
Mpango wao wa udini kwisha
nguvu ya wananchi ni nguvu kuuuuuuuuuuuuuuuuu
sauti ya wanyoge ni kuuu
make hatuamini ushindi unatokana na kwenda kwa wanajimu.
nchi haiwezi ongozwa na majini
huyo boss wa makamba naye ataanguka chari mbaya.
labda wachakachue
xxx

Hapo nilipo bold sijakuelewa vizuri mkuu!!!
 
jamani toeni reliable data,... tusiende kwa maneno maneno tu.. na tuache ushabiki.. mara Chadema inaongoza kibaha, mara CCM inaongoza baada ya kuchakachukua.... tuchukue lipi na tuache lipi...
naomba tuje na data badala ya kuleta tetesi tu zisizo na data
ni ushauri tu
 
Ni kweli CCM wamechakachua matokeo kibaha mjini,dogo alikuwa anongoza kata zote cha ajabu mkurugezi wa manispaa anatangaza KOKA wa CCM kashinda kwa kura 600, chadema wagoma kusaini motokeo,diwani wa tumbi chali nasikia kagawa sana bia mwanalugali,na tumbi Bar inaitwa Javisco
 
Koka lazima atumie nguvu kupata ubunge kwani katumia pesa kibao,kamjengea nyumba mwenyekiti wa ccm kibaha,
 
Habari za kuaminika ni kwamba yule kijana anayesoma Dodoma University ameshinda uchaguzi Jimbo la Kibaha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Matokeo ya vituo vyote yanaonyesha kwamba ameshinda kwa takribani kura 4,000. Mgombea wa CCM amegoma kukubali na anadai mabox yafunguliwe na kura kuhesabiwa upya kitu ambacho Chadema wamegoma.

Source: Wakala wa Chadema
 
Vipi, nlisikia msimamizi hataki kuyatangaza ? wameshatangaza..?
 
Saaaafi sana!!! Wanadhani kuongoza ni haki yao tu!!! Hawa jamaa bana!!
 
SAFIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA :hippie::hippie::nono::nono::nono:
 
Back
Top Bottom