Kibabu kinapojisalimisha mikononi mwa kabinti!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Toa 'comments' zako tafadhali!
 

Attachments

  • mambo (2).jpg
    mambo (2).jpg
    27.9 KB · Views: 160
mtumeee balaa gani hili!.......,nimuuite bebi wakati mtu kajizeekea jaman,aku......:shut-mouth:
 
no big deal so long at the end of the day, kila mmoja anapata kile anachotaka
 
Inanikumbusha Katibu Mkuu mmoja wa chama kimoja cha siasa na demu wake!
 
Hahaha aisay umenichekesha ile mbaya yake mpaa naona kizungu zungu kwa kucheka.

:lol:
 
Hilo lichupi alilolivaa Babu zamani tulikuwa tukiita 'MPATE' maana kwenye hadhi ya kuitwa chupi haipo.
 
Back
Top Bottom