Kiasi gani anafikishiwa mmiliki wa bajaj na bodaboda kwa siku?

muuza ugoro

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
334
59
Wandugu, tafadhali naomba julishwa ni kiasi gani minimum kwa siku anapata mmliki wa bajaj na bodaboda kwa mkoa wa DSM wilaya ya Kinondoni?
 
Kama we ndio mmiliki uamuzi ni wako. Unoongea na huyo unayemkabidhi(MAPATANO), hakuna kanuni ktk hili.
 
Mkuu, tunazungumzia kuhusu Average au Mean amount, yaani kwa kukadiria kwa siku inakuwa ni kiasi gani? Unaweza ukaweka katika range..... shilingi X hadi shilingi Y kadirio.
Ndugu muuza ugoro amewakilisha



Kama we ndo mmiliki uamuzi ni wako. unoongea na huyo unayemkabidhi(MAPATANO) hakuna kanuni ktk hili.
 
Bajaj ni elfu 15 hadi 20 kwa siku.
Bodaboda ni elfu 10 hadi 15 kwa siku. Nimeprove hilo na nina uhakika nalo!!
 
Nasikia lakini hii biashara ni pasua kichwa sana, halafu dereva hachelewi kugonga akakimbia anakuacha unahangaika na polisi.
 
Back
Top Bottom